Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa

Mkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!
Haha mbona imekuuma sana ,kama unahisi lako ndio gari huku umefuata nn
 
Hii ni thread maalumu kwa watumiaji wa Subaru Legacy B4

Tunakutana hapa kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusu gari zetu, mfano; Sehemu nzuri ya kufanyia service mkoa wowote ule ulipo, spare zinapopatikana kwa bei poa nk nk nk

Karibuni sana wadau
Hakuna group la watsaap? by the way kuna mtu anafahamu napoweza kupata engine ya legacy twin turbo?
 
Reactions: 80M
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…