serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
HahahahahMkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahMkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!
Haha mbona imekuuma sana ,kama unahisi lako ndio gari huku umefuata nnMkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!
Hebu tulia huko, kwanza jina lako linafanana na Passo!Haha mbona imekuuma sana ,kama unahisi lako ndio gari huku umefuata nn
Pita wimaHebu tulia huko, kwanza jina lako linafanana na Passo!
Sent from my HTC Desire 626 dual sim using JamiiForums mobile app
Nikodishe gari yako nikalie Maulidi Bagamoyo iyo kesho.
Hakuna group la watsaap? by the way kuna mtu anafahamu napoweza kupata engine ya legacy twin turbo?Hii ni thread maalumu kwa watumiaji wa Subaru Legacy B4
Tunakutana hapa kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusu gari zetu, mfano; Sehemu nzuri ya kufanyia service mkoa wowote ule ulipo, spare zinapopatikana kwa bei poa nk nk nk
Karibuni sana wadau