Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa

Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Hii ni thread maalumu kwa watumiaji wa Subaru Legacy B4

Tunakutana hapa kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusu gari zetu, mfano; Sehemu nzuri ya kufanyia service mkoa wowote ule ulipo, spare zinapopatikana kwa bei poa nk nk nk

Karibuni sana wadau
 
Mkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!
 
Msaada wa rim ya subaru legacy jaman...wap ntapata spare parts?rim yangu 1 imepasuka nahitaji spare part 1 tu ya hyo rim size 17
 
ukinipa subaru na ndizi nachukua ndizi nile nishibe sitaki mawazo mimi na mbolea ya chumvi chumvi
 
Mkutane kufanya nn na hizo mbolea zenu? Kalaleni huko, Hivi Subaru nayo gari au ni usafiri tu!

N wewe kaa huko na hiyo LUNCH BOX YAKO passo, tulikutuma uje highway, au umesahau kwamba unaenda gengeni
 
Back
Top Bottom