Tunapaua na kuezeka kwa kutumia nyasi chelewa na makuti kwa kazi nzuri na yenye ubora cheki nasi

Dah ni kweli Hawa watu wapo na ubaya ni kuwa wakiamua Jambo lao basi litakuwa kikubwa kumalizana nao .
Mwaka Fulani bwana mdogo mmoja yupo Azam Kama mtangazaji wa mpira wa miguu ,alikwenda kumuona baba yake ,kikawa kipindi Cha malipo ya hela ya kahawa hivyo baba yake mtangazaji alilipwa hela nzuri ya kahawa .

Akapata wazo anunue basi used lifanye root za kwenda makao makuu ya wilaya asubuhi na kurudi jioni , familia ikapitisha wazo na likawa ,Sasa kabla ya safari baba anamwambia mwanaye ,bus haliwezi kuanza safari bila kukoroga pombe na kuwaita wazee na wanakijiji watie baraka ,mtangazaji akakanusha ,Basi mzee akafanya Kama alivyowaza .

Wakati wa sherehe hiyo ,mtangazaji akawa anawaambia wazee kuwa hayo Mambo yamepitwa na wakati wajitafakari ,wazee lile Jambo likawauma ila wakamezea .

Sasa baada ya mtangazaji kurudi Dar es salaam ,wazee wakamfuata baba mtu wakamwambia mwanao akae huko huko ,siku akitia miguu yake hapa kijijini usilaumu mtu .

Mzee akaona nongwa hii ,kampigia kijana wake kumkanya na kumwambia yaliyosemwa ,kijana huu Ni mwaka wa kumi na nne ,hajaonekana kwao ,ameomba msamaha Mara kuomba wazee wanadai hawajaenda msitu wa matambiko kusikia Kama mizimu imekubali arudi au lah .

Kijana siku nikamwambia wewe force rudi tuone nini akadai kila akiwaza safari lazima ndotoni aote ajari na anakufa hapo hapo .

Kaka wazee wa mila Wana Mambo ,ila Mimi lazima nimalizane nao ,wasije kuninyima baraka nikiutaka udiwani
Hawa Wazee ni shida
 
Udiwani kumbe
 
Nikitaka unijengee full suti ya mviringo iliyochongoka juu, inaweza kosti kiasi gani?, Watu wa moshi wanaporomosha block nataka nikarudishie hii pale kijijini bana
 
Back
Top Bottom