Uchaguzi 2020 Tunapenda Dkt. Wilson Mahera na wenzake wasikie sauti ya Askofu ambayo inawakilisha watetezi wa haki wote nchini

SISI HUKU ZANZIBAR, HATUNA IKULU YA RAISI WA SHIKAMOOO.
 
Marehemu Mkapa aliona mbali sana alipozungumza hadharani kuhusu umuhimu wa kuwepo Tume Huru na si hii Tume ya wahuni na majizi.
Mungu amlaze mahali pema peponi - lakini alipokuwa madarakani aliambiwa yote ya tume huru kwa kuwa alikuwa kwenye uhondo hakuyaona hadi alipotoka madarakani; na wenzie hivyo hivyo wakiwa madarakani hawaoni umuhimu wa tume huru, wakishatoka watakuja na hoja hizohizo - wananchi watakuwa tayari wameshaumia. Tuombe hasira ya wananchi isije kuamka hadi tutakapopata tume huru - Mungu ni mwema, atatuepusha na shari zote
 
Reactions: BAK
Nakubaliana nawe kabisa au pia wakati wa Bunge la katiba kuitetea na kuipigania kwa nguvu zote rasimu ya Tume ya Warioba basi leo hii tusingekuwa hapa.

Kikwete alitaka kuikubali ile rasimu lakini baada ya kutishwa na wahuni ndani ya maccm kwamba kwa vile anamaliza muda wake kaamua kukiua chama wataanika maovu yake yote ya kampeni zake za 2005 ikiwemo kutumia mabilioni ya pesa za mafisadi kununua kupitishwa kama mgombea AKAUFYATA.

Maccm baada ya kuisoma rasimu ya Warioba walijua itakuwa ni vigumu sana kushinda uchaguzi kwa njia zao haramu hivyo wakamtisha Kikwete na yeye kusalimu amri.

 
Naona mahakama ya kimataifa ICC hiyo inawasubiria kwa hamu
 
Reactions: BAK
Akiendekeza ujinga
KitakachomPata asilaumiwe mtu.
 
Marehemu Mkapa aliona mbali sana alipozungumza hadharani kuhusu umuhimu wa kuwepo Tume Huru na si hii Tume ya wahuni na majizi.
Na hicho ndicho kilichofanya maccm wenzake wamtangulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…