Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

Kak usije tu kuwachakata wanafhnzi kwa kulazimisha ngono ili upewe ngono Kisha ufaulishe

Kuna uzi inatembee dogo ameshikwa tako na lecture wake na Bado anachekacheka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana siwezi, kufanya hivyo after all taasisi hii wanasoma watu wazima wa miaka ya 70 na 80😂
 
Unafurahi kuajiliwa
Umekubali kuishi maisha ya utumwa mpaka unakufa.

Sisi vijana tunataka historia za kujiajili sio kuajiliwa.

Maisha Yako yatakuwa kula kuoga kuvaa nguo kuwahi kufundisha mpaka unakufa

Acha nipumzike
Kila mtu ana ndoto yake bro, ni Bora niwe mtumwa lakini somehow ukali wa maisha unapungua.

Kipindi sina kazi nilijaribu kufanya attempt kadhaa za biashara na ujasiriamali lakini niliangukia pua.

Kuwa employed sio ndio kwamba siwezi kufanya investment zangu mwenyewe. Naweza pia kuwa na shughuli zangu binafsi, tena unakuwa na chanzo cha uhakika Cha mtaji.

Ni kuomba tu Mungu kila kitu kiwe sawa
 
True said mkuu
 
Hongera sana mkuu, kila la kheri
 
Hakika, unaona ni fursa kubwa sana.

Sema ambao wapo kwenye system kitambo wanachukulia kawaida tu, wao walivyomaliza tu taaluma zao wakaingia kazini. Kwaiyo sio rahisi kwao kuelewa hali wanayopitia jobless.
Kabisa .mtu unatafuta hata pakujitolea unakosa.
 
kaka ndio
kaka ndio wewe wamekupa office pale mafunzo ground floor au wamekupangia mkoani.
 
Hongera sana mtumishi, historia nzuri sana hii.

Mwenyewe zile za Tamisemi niliomba sana nikaangukia pua.

Kilichokua kinaniumiza ni ile wenzangu wanapata halafu mimi natemwa.

Mungu ni mwema PSRS ikawa mkombozi ingawa mziki haukuwa wa kitoto.
 
Hakika, unaona ni fursa kubwa sana.

Sema ambao wapo kwenye system kitambo wanachukulia kawaida tu, wao walivyomaliza tu taaluma zao wakaingia kazini. Kwaiyo sio rahisi kwao kuelewa hali wanayopitia jobless.
Kun watu wanakula matunda ya mababu. Hao hamuwez kuelewana hapa. Toka nimalizie chuo mwaka utakata soon, nimejiadjust Kwa uwinga kariakoo. Kuna kiofis flan kule ushuwan kinaweza kunisapoti kwanza volunteer! Naskia wanalipa 500 mungu alifanye kuwa jepess. Unemployment is real! Mental ill is real also
 
Hongera sana mtumishi, historia nzuri sana hii.

Mwenyewe zile za Tamisemi niliomba sana nikaangukia pua.

Kilichokua kinaniumiza ni ile wenzangu wanapata halafu mimi natemwa.

Mungu ni mwema PSRS ikawa mkombozi ingawa mziki haukuwa wa kitoto.
Hongwea sana mkuu.

Nilikuwa naona mapambano yako humu JF hatimaye kumbe ulitoboa safi sana aisee.
 
Mkuu kuna ka feeling flani unakapata Mimi nakumbuka nilisota mtaani 3 years Sasa siku moja nikasema why nisiombe kazi si nikaitwa usaili dah acha nimemaliza fanya mtiani usiku saa mbili matokeo haya hapa nimeitwa oral hm hawakuamini coz nilikuwa nishakata tamaa ya ajira dah nikapiga oral kesho yake wakasema majibu ni sa2 usiku tena dah saa 7 mchana nishakata tamaa na kuanza safari ya kurudi hm ndo chuma inatoka jina lipo nilipata ka feeling flani mpk nikawapigia simu kweli Kama ndo mm au tulikuwa wengi maana tuliitwa 600+ tuliohudhuria written 400+ na oral 30+ ila ajira ilitaka 13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…