Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

Hongera sana mtumishi, historia nzuri sana hii.

Mwenyewe zile za Tamisemi niliomba sana nikaangukia pua.

Kilichokua kinaniumiza ni ile wenzangu wanapata halafu mimi natemwa.

Mungu ni mwema PSRS ikawa mkombozi ingawa mziki haukuwa wa kitoto.
Mkuu we umesomea nini
 
Hakika Mungu ni mkuu
 
Hakika ndugu
 
Ndiyo mambo nayotaka JF, hapo mtu atajifunza kitu. Nilifurahi ulivyocheza na watoto na wakakupenda japo sio kazi rahisi.
Mimi na watoto sijawahi kushindwana, pia napenda kuengage zaidi na watoto kuliko watu wakubwa. Kwa lugha rahisi naweza kuzoeana na watoto haraka kuliko na watu wazima.

Vitu vingine ni uwezo binafsi wa kuzaliwa nao ambao hauhitaji kujifunza.
 
Daaaah story yako ni nzuri na napata ujumbe hakuna kukata tamaa na hicho ndicho kilinifanya nipate kazi ijapokuwa kuna watu walinikatisha tamaa lakini nilipambana mpaka nikatoboa
Hakika kila kina wakati wake
 
Umenikumbusha nliwahi jitolea kufundisha shule moja pale tanga inaitwa masechu sikuwa na lipwa hata sh.100 mbovu tena hapo napiga pindi physics form3 hata nauli ila nlijikaza san maisha yanachangamoto lukuki acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…