Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sio tu Tanzania kuchafuka, Tanzania bado na haijawai kutangaza vizuri kwenye channel bora za kimataifa nafasi yake duniani kwenye uzalishaji, bidhaa na utaliii. Hii ndo nafasi ambayo Tanzania imeipata na inatakiwa iitumie vizuri sana!Jina la Tanzania lilichafuka. Mwendazake aliifanya Tanzania kuwa na taswira ya kidikteta kama vile Korea Kaskazini.
Ndiyo maana anasema inabidi nchi isafishwe kwa kuwazungusha waandishi wa habari wa kimataifa wajionee wenyewe jinsi Uhuru, haki na furaha vilivyorejea nchini baada ya kwenda jehanamu yule dikteta.
Halafu baada ya hapo hao waandishi watusafishe... rebranding.
kwa sababu una chat hapa if una hisi wewe ni mjuzi Sana lakini ni kuhakikishia kama umesoma hapa Tanzania na huna exposure wewe bado hujuwi kitu mkuu bado Sana!!😂😂😂😂😂😂 acha ujinga wa kujifanya unanijua! Narudia tena hao Watalii wanaoingia Tanzania kila mwaka na kuingiza kwa nchi billions of dollars wanaamua vipi kwenda katika nchi isiyofahamika duniani? Acha kuandika upumbavu.
Tanzania yaendelea kupeta katika sekta ya utalii Afrika Mashariki - | Vatican News
Waziri Mkuu amewaomba watalii hao wapange muda wao na watafute fursa nyingine ya kuja Tanzania kutembelea mbuga nyingine za ukanda wa Kusini pamoja ...www.vaticannews.va
Unajua kwa mwaka Tanzania inapokea watalii hawa Udi Mil 2??? Na haijawai zidisha zaidi ya hapo???
Unajua South Africa wanapokea watalii si chini ya Mil 5 kwa mwaka??? Unajua ni Kwa nini???
Unajua kuwa Misri wanapokea watalii si chini ya Mil 10 kwa mwaka ??? Unajua ni Kwa nini???
Labda nikusaidie! Hizi nchi sina program za kujitangaza kwenye hizo channel kubwa duniani.
Nilikuwa nakuonaga una akili Ila leo umeniangusha sana
Ungekuwa na exposure usingeuliza Hilo swali.Hivi huo uwekezaji tunaousema ndio kwanza unafanyika Tanzania au umewahi kufanyika? Ni aina gani ya uwekezaji anaouleta ambao ni tofauti na wa Mkapa na Kikwete?
Me mwenyewe mkuu hakika mshikaji nina muonaga yupo vizuri Sana lakini kani sikitisha Sana Sana!Unajua kwa mwaka Tanzania inapokea watalii hawazidi Mil 2??? Na haijawai zidisha zaidi ya hapo???
Unajua South Africa wanapokea watalii si chini ya Mil 5 kwa mwaka??? Unajua ni Kwa nini???
Unajua kuwa Misri wanapokea watalii si chini ya Mil 10 kwa mwaka ??? Unajua ni Kwa nini???
Labda nikusaidie! Hizi nchi sina program za kujitangaza kwenye hizo channel kubwa duniani.
Nilikuwa nakuonaga una akili Ila leo umeniangusha sana
Kwani kwenye mbuga za Africa Kusini na za Tanzania mfano Serengeti kuna tofauti gani ya infrastructures??!Tatizo si Tanzania kutojulikana bali ni Infrastructure.
Nazungumza na Watalii ambao huamua kwenda Afrika ya Kusini na si Tanzania na Infrastructure inachangia sana maamuzi yao. Barabara za uhakika, maji na umeme wa uhakika si kama hapa nchini vyote vya kuunga na gundi. Ni mimi nisiye na akili 😂😂😂😂
we jamaa watali hawafuati umeme wala maji Safi wata shangaa nini ebow!Tatizo si Tanzania kutojulikana bali ni Infrastructure.
Nazungumza na Watalii ambao huamua kwenda Afrika ya Kusini na si Tanzania na Infrastructure inachangia sana maamuzi yao. Barabara za uhakika, maji na umeme wa uhakika si kama hapa nchini vyote vya kuunga na gundi. Ni mimi nisiye na akili 😂😂😂😂
Wanasikitisha sana Kwa kweliMe mwenyewe mkuu hakika mshikaji nina muonaga yupo vizuri Sana lakini kani sikitisha Sana Sana!
unavyo muona jamaa ndio hivyo hivyo walivyo baadhi ya viongozi yaani tuna safari ndefu Sana!
Kwani kwenye mbuga za Africa Kusini na za Tanzania mfano Serengeti kuna tofauti gani ya infrastructures??!
Mie nimefika Kruger national Park iliyopo South Africa na nimefika Pia Serengeti iliyopo Tanzania. Nakuhakikishia Serengeti ni bora zaidi ya Kruger kwa kila kitu, kuanzia wanyama hadi miundombinu Ila Kruger inapokea watalii karibu mara 5 ya serengeti kwa mwaka!
Unajua shida ni nini???? Shida ni matangazo na watu wenye akili Kama zenu mnadhani kujitangaza ni kupoteza muda
Kuna story moja sijui ina ukweli kiasi gani.Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
walio imba bongo bahati mbaya hawaja kosea kabisa!Wanasikitisha sana Kwa kweli
Huo ushahidi kwamba sisi ni Burundi Rwanda gang uko wapi? Lord Denning ni mtu sana kisheria huko uk...weka ushahidiMtateseka sana nyie burundi na Rwanda gang. Tumejifunza mapandikizi yote ya nchi zingine msahau tena kukamata uongozi wa nchi hii
Usilete dharau zako za kijima. Wewe ndio mwenye akili sio na kwamba ndiye unayefahamu kila kitu kilichopo Tanzania na nje ya nchi?Jina lako haliakisi akili yako! Kwa iyo nchi zilizofanya iyo program nazo zilikuwa zinakarabati???
kwanza iyo program unaijua?? Ushawai hata kuangalia vipindi kama Quest means business huko CNN??
You guy! rebranding it self doesnt mean only what you perceive. it goes further as explained in this definition from WIKIPEDIALeo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.
Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.
Ninaamini message sent and delivered.
Kwanini hakujiuzulu mapema kama aliona mengi na akavumilia ili kujipa heshima zaidi kwa nchi na wananchi?Rebranding ina maana pana zaidi ya hulka za makamu kutokuwa muwazi wakati bosi akiwa bado yupo hai.
Aliyekuwa makamu aliona mengi na pengine tuseme alivumilia mengi pia.
Anayo haki ya kuja kivingine kwa maana ya kuboresha zaidi ufanisi wa kile kilichofanywa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakubwa wa Kilimo na wakazalisha mazao mengi yakatumia reli ya SGR kutoa Mali bara na kuleta bandarini hapo makamu wa zamani anakuwa kaongeza ubora wa kilichoanzishwa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakazalisha Mali kule Chato na zikasafirishwa na ndege zitakazotua pale makamu atakuwa kaupa ubora uwanja ule.
Naamini makamu wa zamani ana nia njema na nchi lakini siku zote waharibifu wa nchi ni sisi wenyewe.
Ni rahisi kuhoji kwanini asijiuzulu lakini kila mmoja akiamua kujiuzulu kwa kutoridhishwa na uongozi wa juu yake hizo taasisi kubwa zilizofanikiwa duniani zisingeweza kufika zilipofika.Kwanini hakujiuzulu mapema kama aliona mengi na akavumilia ili kujipa heshima zaidi kwa nchi na wananchi?
Kama alichagua kuwa kimya bila kuchukua hatua ya kujiondoa kwenye serikali dhalimu na isiyofuata sheria hata kwa sababu za visingizio tu, huoni kwamba unamwingiza kwenye mtego wa kutuhumiwa?
*It was logically very simple retreatment mindset era to strategically step down and regroup for the brilliant state remedial as opposed to what is revolving around now.
Kwanini hakujiuzulu mapema kama aliona mengi na akavumilia ili kujipa heshima zaidi kwa nchi na wananchi?Rebranding ina maana pana zaidi ya hulka za makamu kutokuwa muwazi wakati bosi akiwa bado yupo hai.
Aliyekuwa makamu aliona mengi na pengine tuseme alivumilia mengi pia.
Anayo haki ya kuja kivingine kwa maana ya kuboresha zaidi ufanisi wa kile kilichofanywa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakubwa wa Kilimo na wakazalisha mazao mengi yakatumia reli ya SGR kutoa Mali bara na kuleta bandarini hapo makamu wa zamani anakuwa kaongeza ubora wa kilichoanzishwa na mtangulizi.
Akileta wawekezaji wakazalisha Mali kule Chato na zikasafirishwa na ndege zitakazotua pale makamu atakuwa kaupa ubora uwanja ule.
Naamini makamu wa zamani ana nia njema na nchi lakini siku zote waharibifu wa nchi ni sisi wenyewe.
Nani atathibitisha palikuwa na upungufu wakati aliyekuwepo hayupo kujibu upungufu unaodaiwa? Kumbuka usimhukumu mtu bila ya kumpa nafasi ya kujitetea. Anayetuhumiwa kufanya makosa hapo katangulia mbele za haki (RIP) na hana uwezo wa kujibu kinachodaiwa mapungufu. Mapungufu anayaona binadamu kwa kuwa kila mmoja anautashi wake. Ukiulizwa mapungufu yalisababishwa kwa kutozingatiwa sheria ipi hauwezi kuonesha hapa.Ni rahisi kuhoji kwanini asijiuzulu lakini kila mmoja akiamua kujiuzulu kwa kutoridhishwa na uongozi wa juu yake hizo taasisi kubwa zilizofanikiwa duniani zisingeweza kufika zilipofika.
Cha muhimu ni huyu ambaye hakujiuzulu kufanyia kazi upungufu wote ambao aliuona, pengine ni bahati zaidi kuwa hakujiuzulu ili sasa aje na kitu kizuri zaidi kwa taifa.
Aliyejiuzulu katangulia mbele za haki lakini kaacha mambo mengi yanayoongea kwa niaba yake na ndiyo watu wanayoyatumia kumjadili.Kwanini hakujiuzulu mapema kama aliona mengi na akavumilia ili kujipa heshima zaidi kwa nchi na wananchi?
Kama alichagua kuwa kimya bila kuchukua hatua ya kujiondoa kwenye serikali dhalimu na isiyofuata sheria hata kwa sababu za visingizio tu, huoni kwamba unamwingiza kwenye mtego wa kutuhumiwa?
*It was logically very simple retreatment mindset era to strategically step down and regroup for the brilliant state remedial as opposed to what is revolving around now.
Nani atathibitisha palikuwa na upungufu wakati aliyekuwepo hayupo kujibu upungufu unaodaiwa? Kumbuka usimhukumu mtu bila ya kumpa nafasi ya kujitetea. Anayetuhumiwa kufanya makosa hapo katangulia mbele za haki (RIP) na hana uwezo wa kujibu kinachodaiwa mapungufu. Mapungufu anayaona binadamu kwa kuwa kila mmoja anautashi wake. Ukiulizwa mapungufu yalisababishwa kwa kutozingatiwa sheria ipi hauwezi kuonesha hapa.
Kujiuzulu ndio kipimo cha thamani zaidi, angalau angetoka hadharani akatuambia umma kwamba nilitaka kujiuzulu lakini nilizuiwa au nilishauriwa na kina fulani nisifanye hivyo kwa sababu moja mbili tatu tungemwelewa vizuri tu sio gia hizi za kumsingizia mtu ambaye hayupo duniani tena akijua hawezi kuamka na kujitetea hii sio haki