Tunapoambiwa kuwa Tanzania inakuwa 'Rebranded' ni vyema pia tukaambiwa nani 'aliichafua', lini na kwa manufaa gani

Wanataka kupiga pesa za walipa kodi tu. Eti unafanya rebranding kwa sababu kuna Rais mwanamke!? KWELI? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.

Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.

Ninaamini message sent and delivered.
 
Kwamba tangu uhuru Tanzania haijulikani duniani leo tu ndo inaenda kujulikana chini ya Mama. Kazi ipo safari zote za Nyerere, Mwinyi, JK, Mkapa na hatimae Samia alikuwa Makamu wa Rais na yeye ndo alikuwa anasafiri badala ya JPM. Hii nchi haijulikani eti nyiee.

Kazi ipo go. Kuna uwezekano wenzetu huko ng'ambo wakienda hawaongei. Wana kula bata tu.
Toka nje ya Tanzania ndio utajuwa Tanzania haijulikani!!
 
Kwamba tangu uhuru Tanzania haijulikani duniani leo tu ndo inaenda kujulikana chini ya Mama. Kazi ipo safari zote za Nyerere, Mwinyi, JK, Mkapa na hatimae Samia alikuwa Makamu wa Rais na yeye ndo alikuwa anasafiri badala ya JPM. Hii nchi haijulikani eti nyiee.

Kazi ipo go. Kuna uwezekano wenzetu huko ng'ambo wakienda hawaongei. Wana kula bata tu.
Ni mawazo ya kipumbavu sana kuwahi kuyasikia. Na haya eti ndio maono ya Nchi! Kujulikana Duniani. Kwa hiyo, tukijulikana watoto mashuleni watapata Madawati na Vitabu na wazazi watapata uwezo wa kuwalipia Ada? Niliposema tuna Raisi ambaye hana maono na badala yake tuna Raisi ambaye ameziba pengo la kikatiba sikuwa nimekosea!
 
Wanataka kupiga pesa za walipa kodi tu. Eti unafanya rebranding kwa sababu kuna Rais mwanamke!? KWELI? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tanzania haijulikani kama unavyo weza jiaminisha kuna mtu unaweza muambia umetokea Tanzania ikachukuwa muda Sana kuelewa adi atizame ramani ni shakutana na wengi Sana !!
Ata wachina karibu ya 60 hawajuwi kama kuna Nchi inaitwa Tanzania!!
 
Hii research yako ulifanya wapi? Hao wageni chungu nzima tunaopata kila mwaka na wanaoingiza $$$ billions kutoka nchi mbali mbali duniani wanafika vipi katika nchi ambayo haifahamiki?

Mawazo ya kijinga sana! North Korea, Afghanstan, Irak na Rwanda nazo hazijulikani? Hivi haya ndio maono ya kuongoza Nchi? Hivi kwa mfano, kungetokea Mchuano ndani ya Chama wa kumtafuta mgombea wa CCM na mama akawa miongoni mwao haya ndo mawazo angeenda nayo kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wampitishe kukiwakilisha Chama?
 
Hebu tuwaulize uhusiano kati ya Nchi kujulikana na kuendelea kwa Nchi husika.
 
Rebranding ina maana pana zaidi ya hulka za makamu kutokuwa muwazi wakati bosi akiwa bado yupo hai.

Aliyekuwa makamu aliona mengi na pengine tuseme alivumilia mengi pia.

Anayo haki ya kuja kivingine kwa maana ya kuboresha zaidi ufanisi wa kile kilichofanywa na mtangulizi.

Akileta wawekezaji wakubwa wa Kilimo na wakazalisha mazao mengi yakatumia reli ya SGR kutoa Mali bara na kuleta bandarini hapo makamu wa zamani anakuwa kaongeza ubora wa kilichoanzishwa na mtangulizi.

Akileta wawekezaji wakazalisha Mali kule Chato na zikasafirishwa na ndege zitakazotua pale makamu atakuwa kaupa ubora uwanja ule.

Naamini makamu wa zamani ana nia njema na nchi lakini siku zote waharibifu wa nchi ni sisi wenyewe.
Ushaambiwa kuna wakati una uvumi ulipita na ukazimwa, kwamba alitaka kubwaga manyanga, yaani alikuwa hakubaliani na sera za mwendazake.
 
Hivi huo uwekezaji tunaousema ndio kwanza unafanyika Tanzania au umewahi kufanyika? Ni aina gani ya uwekezaji anaouleta ambao ni tofauti na wa Mkapa na Kikwete?
Dunia huenda ikibadilika na mahusiano ya watu hubadilika pia.

Tanzania yenye reli na ndege zake ya Samia ni tofauti na ile ya waliomtangulia.

Tanzania yenye watu milioni 60 na kundi kubwa la wasomi uwekezaji wake ni tofauti na ule wa wakati wa Mwinyi wakati idadi ilipokuwa milioni 25.
 
Hii research yako ulifanya wapi? Hao wageni chungu nzima tunaopata kila mwaka na wanaoingiza $$$ billions kutoka nchi mbali mbali duniani wanafika vipi katika nchi ambayo haifahamiki?
mkuu umesafiri Nchi ngapi apa ulimwenguni?
nina hakika ata 2 huja safiri ungekuwa umesafiri usinge bisha kabisa!
Bora useme umetokea Kenya kidogo Sana ina fahamika!
kama South Korea Thailand ndio kabisa china yenyewe nina kuhakikishia karibia ya 60% au zaidi hawajuwi Tanzania!
urusi hivyo hivyo! licha unaona watali wao wamekuja wengi mwaka huu ni corona imewafanya wakaitambua Tanzania! na warusi na marekani ndio wanaongoza kwa matumizi ya pesa starehe!
 
Ushaambiwa kuna wakati una uvumi ulipita na ukazimwa, kwamba alitaka kubwaga manyanga, yaani alikuwa hakubaliani na sera za mwendazake.
Kazi ya urais na umakamu ni ngumu zina changamoto zake nyingi na binadamu wakiwa pamoja lazima siku moja moja wapishane kauli.
 
Rebranding ina maana pana zaidi ya hulka za makamu kutokuwa muwazi wakati bosi akiwa bado yupo hai.

Aliyekuwa makamu aliona mengi na pengine tuseme alivumilia mengi pia.

Anayo haki ya kuja kivingine kwa maana ya kuboresha zaidi ufanisi wa kile kilichofanywa na mtangulizi.

Akileta wawekezaji wakubwa wa Kilimo na wakazalisha mazao mengi yakatumia reli ya SGR kutoa Mali bara na kuleta bandarini hapo makamu wa zamani anakuwa kaongeza ubora wa kilichoanzishwa na mtangulizi.

Akileta wawekezaji wakazalisha Mali kule Chato na zikasafirishwa na ndege zitakazotua pale makamu atakuwa kaupa ubora uwanja ule.

Naamini makamu wa zamani ana nia njema na nchi lakini siku zote waharibifu wa nchi ni sisi wenyewe.
Akiboresha Burigi pia ndege zitatua Chato Airport.
 
Mawazo ya kijinga sana! North Korea, Afghanstan, Irak na Rwanda nazo hazijulikani? Hivi haya ndio maono ya kuongoza Nchi? Hivi kwa mfano, kungetokea Mchuano ndani ya Chama wa kumtafuta mgombea wa CCM na mama akawa miongoni mwao haya ndo mawazo angeenda nayo kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wampitishe kukiwakilisha Chama?
Mkuu una juwa watu wengi Sana kama wewe kama umekulia hapa hapa Tanzania na hujawahi kutoka unaweza hisi ni mwazo ya kijinga kama unavyo hisi!!
kuna siku utajiona bado wewe mwazo yako ni madogo Sana Sana kuliko ulivyo tegemea! kama hao Afghanistan nina marafiki zaidi ya 3 hakuna ata mmoja anaye ijuwa Tanzania!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ acha ujinga wa kujifanya unanijua! Narudia tena hao Watalii wanaoingia Tanzania kila mwaka na kuingiza kwa nchi billions of dollars wanaamua vipi kwenda katika nchi isiyofahamika duniani? Acha kuandika upumbavu.
mkuu umesafiri Nchi ngapi apa ulimwenguni?

nina hakika ata 2 huja safiri ungekuwa umesafiri usinge bisha kabisa!
Bora useme umetokea Kenya kidogo Sana ina fahamika!
kama South Korea Thailand ndio kabisa china yenyewe nina kuhakikishia karibia ya 60% au zaidi hawajuwi Tanzania!
urusi hivyo hivyo! licha unaona watali wao wamekuja wengi mwaka huu ni corona imewafanya wakaitambua Tanzania! na warusi na marekani ndio wanaongoza kwa matumizi ya pesa starehe!
 
Hapo mkuu umenena kiungwana na kiweledi zaidi tatizo ni wale waliotoa kauli hiyo ni uthibitisho kwamba wanaoona mapungufu lakini bado wakawepo kwenye utawala husika kisha kusubiri kiongozi wao apige teke kapu ndio wanaanza ukosoaji ni UNAFIKI, UZANDIKI, UHASIDI na UHARIFU ambao hauna nafasi kuuvumilia kabisa.

'Rebranding Tanzania'? Goosh!!! Why this time around?

Mtu anapodai anakarabati au kutengeneza kitu fulani ni sharti aeleze ni kitu gani kilichofanya uharibifu huo, lini na yeye alikuwa wapi, alifanya jitihada gani kuzuia au kushauri kuepuka uharibifu huo.

Mpaka sasa kama kuna kiongozi wa jinsi hiyo amesema hivyo anatakiwa ajiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa hana sifa za kuaminika tena.
Jina lako haliakisi akili yako! Kwa iyo nchi zilizofanya iyo program nazo zilikuwa zinakarabati???

kwanza iyo program unaijua?? Ushawai hata kuangalia vipindi kama Quest means business huko CNN??
 
Mawazo ya kijinga sana! North Korea, Afghanstan, Irak na Rwanda nazo hazijulikani? Hivi haya ndio maono ya kuongoza Nchi? Hivi kwa mfano, kungetokea Mchuano ndani ya Chama wa kumtafuta mgombea wa CCM na mama akawa miongoni mwao haya ndo mawazo angeenda nayo kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wampitishe kukiwakilisha Chama?
Mkuu kumbuka kuwa JPM miaka mitano yake kajenga mazingira ya uwekezaji wa ndani na nje. Sioni dhambi kwa awamu ya sita kujikita katika kuhakikisha miundo mbinu hiyo inaanza kuleta tija kwa taifa.

Kagame alikwenda kuwekeza Arsenal ili jina la nchi yake lionekane juu ya jezi ya timu hiyo, hakuwa mjinga hata kidogo.

Sisi wenye serengeti na mikumi na Tanzanite itakuwa aibu kama tunaishia kujitangaza kiuoga kimataifa.
 
Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji.

Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa ndiyo mnakuja kutuonyesha 'kimafumbo' kuwa mlikuwa hamkubaliani 'kimaamuzi' kwani wenye akili kubwa tutawatafsiri nyie si tu ni wanafiki bali pia mna 'vielementi' vya uchawi pamoja na vya ufitini pia.

Ninaamini message sent and delivered.
Aisee nimeipenda hoja yako
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ acha ujinga wa kujifanya unanijua! Narudia tena hao Watalii wanaoingia Tanzania kila mwaka na kuingiza kwa nchi billions of dollars wanaamua vipi kwenda katika nchi isiyofahamika duniani? Acha kuandika upumbavu.
Unajua kwa mwaka Tanzania inapokea watalii hawazidi Mil 2??? Na haijawai zidisha zaidi ya hapo???

Unajua South Africa wanapokea watalii si chini ya Mil 5 kwa mwaka??? Unajua ni Kwa nini???

Unajua kuwa Misri wanapokea watalii si chini ya Mil 10 kwa mwaka ??? Unajua ni Kwa nini???

Labda nikusaidie! Hizi nchi sina program za kujitangaza kwenye hizo channel kubwa duniani.

Nilikuwa nakuonaga una akili Ila leo umeniangusha sana
 
Back
Top Bottom