GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hata mimi nikiri sijawahi kuona sanaa yake.lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake.
MMMH NAONA MNAANZA UCHOKOZI SHAURI YAKObro genta kunajamaa humu walisema upo hoi kwa corona.je umepona?
bro genta kunajamaa humu walisema upo hoi kwa corona.je umepona?
genta ni dingi au kizee cha busara?Nani kakuambia genta ni bro?
Ahahahhaha mbn mada haielewek pamoja na kichwa chake au na ww n mmoja wapo wa wadau wa mjanii😅😂😂" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki
Chanzo Taarifa: Darmpya Blog