Tunapoambiwa Siku zote kuwa Bangi / Bange si nzuri kwa Matumizi ya Binadamu tujaribu kuwa Wasikivu tafadhali

Tunapoambiwa Siku zote kuwa Bangi / Bange si nzuri kwa Matumizi ya Binadamu tujaribu kuwa Wasikivu tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki

Chanzo Taarifa: Darmpya Blog
 
Mbona bange imepigwa marufuku na serikali lakini yeye anaitukuza?
 
Wanyabi mbona bange ndio kila kitu lakin, hawafanyi ujinga wa hivo.
Ndo kwanza wanamuunga mkono jiwe
 
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki

Chanzo Taarifa: Darmpya Blog
Ahahahhaha mbn mada haielewek pamoja na kichwa chake au na ww n mmoja wapo wa wadau wa mjanii😅😂😂
 
Back
Top Bottom