Tunapoficha makosa ya Diamond kwa kisingizio cha uzalendo

Kwahiyo mtu akikusaidie,,,,, ndio akufanye anavyotaka

Tenda Wema nanda zako aseeeeeeee

davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?
 
Who is davido??? By the way


Acheni upumbavu wa kumtetemekea davido, kwanini atuambie tumedanganya??? Katudharaurau nayeye kadharauliwa na daimond...ful stop

mkuu cheki hapo nimekusaidia ku edit
 
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?

Walioandaa BBA ndio walioandaa CHANEL O? Diamond hana makosa kwa hilo sema munachuki zenu kwa CHIBU na ndio maana munakubali Taifa likejeriwe watu wakae kimya…!!!! Au huyo Dai aliandika nn kibaya haswaaaa…!!!
 

Mimi naupenda mUziki wa dimond kinoma, kama nilivyokua nikipenda muziki wa mr. Nice tatizo linakuja kwa wahusika wenyewe yaani dimond na nice hawaendani na hiyo personality tulizo zitegemea ukilinganisha na ukubwa wa muziki wao.
Jamaa uko sawa kabisa kwenye hili, coz mimi nilipoisoma ile twit ya davido sikuona kama anamkandia dimond 1 kwa1 bali niliona kama amepatwa na wivu wa kurise tz kwenye mambo hayo ya sanaa, sema kibaya ni namna dimond na mashabiki wake walivyoichukulia hiyo twt ndio imekua vurugu sasa...
By the way huyu dogo anaonesha huwa HANAGA SHUKRANI KWA WATU WANAOMPA TAFF COZ ALIMFANYIA THE SAME BOB JUNIOR AMBAE NDIO ALIEMTAMBULISHA KWETU.
naunga mkono hoja..
 
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?

Sasa kwa akili ya secondary tuu....wee umeongoza mtihani ticha anakupa zawadi then ana rise mtu na kusema ticha amependelea....it means amemdharau ticha na wewe ambaye umeongoza kwamba huna uwezo wa kuongoza.... ....this z damn....hajui kwamba kuna watu wana akili za wastani but wanaoteaga mitihani(waliposoma jana usiku ndo hicho ticha katoa kwenye mtihani).... so wanafaulu vizuri sanaa na kuongoza.

So davido hata kama anawasema bba....also amem- snitch idris wetu....na Tanzania kwa ujumla

So inabidi aelewe kwamba yeye ni binadamu tuu kama binadamu wengine....aache kujiona yupo juu pia aache dharau...

Me naona bora tuu watu wanavyotusaidia kulee IG na Twitter waendelee tuu hivyo hivyo mpaka aisome namba........
 
WaTZ bana! Kwa hali hii CCM itaendelea kuongoza miaka milioni ijayo...

Kwa vile huyo Idrissa kashinda, basi sasa anaonekana alikuwa akipeperusha bendera ya TZ.

Nakumbuka serikali iliwahi kukana kutowatambua washiriki wa huo mchezo. WaTZ wakaungana na serikali yao kuyaponda mashindano; wakisema hayana maadili ya kitanzania n.k.

Sasa jamaa kashinda kitita, kila mtu (sijafahamu serikali kupitia wizara husika imesemaje juu ya ushindi huo) anasema Idrissa alikuwa akituwakilisha waTZ.

Pheeewww.
 
Haya mambo yapo complicated sana ila kiuhalisia wote wana makosa na ifike mahali wamalize tofauti zao
 
Walioandaa BBA ndio walioandaa CHANEL O? Diamond hana makosa kwa hilo sema munachuki zenu kwa CHIBU na ndio maana munakubali Taifa likejeriwe watu wakae kimya…!!!! Au huyo Dai aliandika nn kibaya haswaaaa…!!!

Sasa hapa unajichanganya, unamjuwa CHIBU?

Chibu Dangote amejenga kiwanda cha saruji Mtwara na kutoa ajira kwa Watanzania sasa tumchukie kwd lipi?
 
Mimi na wewe wote tupo timu moja... tunam-support Diamond na kukesha kule kwenye thread yake! Let's be honest here... hivi huo UTUMWA, au u mungu mtu tunaousema kuhusu Davido ni upi? Wengine tunasema Davido anataka anyenyekewe... let's be honest... hii ni local forum kwahiyo hatufichui upumbavu wetu kama wale waliopo Instagram na Tweeter... hivi ni kipi kinachotufanya tuamini kwamba Davido anataka kunyenyekewa manake tumekazana kusema anataka anyenyekewe? Hivi kweli, tukitulia peke yetu chumbani na kuweka emotions zetu pembeni, hivi kweli tunaamini kabisa kwamba Davido alikuwa amemlenga Diamond ile Tweet? Wengine wamekazana kudai kwamba Davido ana dharau... ina maana hizi dharau za Davido zimeanza sasa? Mtafuruku wa Diamond na Davido ulitokea 08.12 wakati tarehe 05/12, yaani siku tatu tu nyuma, Diamond alikuwa ame-post instagram akitangaza kazi mpya ya Davio... ina maana hii jeuri, kujiona mungu mtu, dharau na mambo kama hayo kwa upande wa Davido yalianzia tarehe tarehe 05/12?

Pamoja na mapenzi niliyonayo kwa Diamond lakini wala sioni sababu ya Davido kuomba radhi kwa kuwa hakuna popote alipomtaja Chibu wala Watanzania lakini ukiangalia tweets za Wanaija, unagundua moja kwa moja Davido, sawa na wanaija wengine, wana bifu na Biggie! Kwa upande wa Diamond, uungwana anatakiwa kuomba radhi... kuomba radhi sio kwamba amekosa, la hasha... tweet yake ilikuwa ya kawaida sana! Lakini kiungwana alitakiwa kuomba radhi kwa niaba ya mashabiki wake ambao wala sina haja ya kurudia walichofanya na kuendelea kufanya!! Ingekuwa mashabiki wa Diamond tunapewa kadi za uanachama, ningekuwa tayari kunyang'anywa kadi kuliko kutetea yanayotokea!!! Nitabaki kuwa shabiki wa Diamond lakini kwa hili, Chibu anatakiwa kuomba radhi kwa niaba ya mashabiki wake!
 

u talk too much mpaka unabore
i said it earlier and am saying again uko honesty hadi raha
chidi kamshauri mondi wayamalize
 
 

Ndio hivyo....., kama anawasema BBA it means na the Winner kasemwa kuwa hastahili
 
Kwahiyo mtu akikusaidie,,,,, ndio akufanye anavyotaka

Tenda Wema nanda zako aseeeeeeee

ukienda kwenye forum ya wanaijeria jukwaa la celebrity utaona kuna thread wameweka picha ya pamoja diamond na davido,then maelezo ya ile post ya ''N they cheat again'' halafu na reply ya diamond,wao wenyewe wanasema chanel o awards diamond kupewa tuzo davido alimind,kwanza walimwita mpaka s.africa na hakupata tuzo hata moja.

ila wabongo hawaishiwi vituko naona hata huko kwenye forum ya watu wanacomment kwa kiswahili na kutukana kwa kiswahili,forum yenyewe ina member zaidi ya million halafu unaenda kureply watu mle kwa kiswahili,aisee wehu wapo wengi
 

Mi hao wamaotukana kiswahili kwenye hizo page Twitter instagram na kwenye hizo blog wananichosha vibaya saana.... muda mwingine huwa naona hadi aibu kusoma waliyoandika
 
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?

kwani mondi yeye kamfanya nini davido??? and big brother amedanganya vipi sasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…