Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mtu akikusaidie,,,,, ndio akufanye anavyotaka
Tenda Wema nanda zako aseeeeeeee
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?
binafsi nimekuwa nikifuatilia hili suala la diamond kuwa na msuguano na davido tokea ushindi wa idris big brother na nikiri kuwa diamond hakupaswa kusema aliyosema dhidi ya davido kwa sake ya urafiki wao!!, kwanini nasema ivo coz thamani ya urafiki waliokuwa nayo haiwez kupotezwa kirahisi ivo ingawa kuna watu wanafurahia tena kwa sababu za kitoto, kwa wale walioishasoma novel ya godfather nadhani wananielewa ninapozungumzia thamani ya urafiki! kwani urafiki ni km kula tunda na ukimaliza kuipanda mbegu yake ili siku utakapohitaji tena tunda uwe na sehem pa kulipata.sasa ninachoona ni giza kubwa mbele yetu sie mashabiki wa diamond hatuoni ukweli tumejikinga kwny kivuli cha uzalendo hatutaki kukubali kuwa davido kasaidia kupush mafanikio ya diamond kwa kiasi fulani, mara baada ya number one rmx kutoka milango ilianza kufunguka kwa kasi kwa diamond na hili wengi hatulioni bado tumefunikwa na kivuli cha uzalendo hatusimami kwny fact! ukitaka kuamini hili nenda youtube kaangalie number one rmx imeangaliwa na watu wangapi dhidi ya original version!!....kwa taarifa yako kuna gape la watu zaidi ya million mbili!,,,ndyo tunakubal davido siyo mungu so diamond hana haja ya kumtetemekea lakini kwa hili alipaswa kuonyesha heshima angalau kidogo kwani alichofanya ni ukosefu wa fadhila wa hali ya juu. mwisho na suggest diamond afanye mpango amalize hili suala hta km ni kimya kimya ili kuondoa tension iliyopo sasa
Kumbe ni mashabik. Sasa kwanin mwaendelea mtajataja DIAMOND.
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?
Walioandaa BBA ndio walioandaa CHANEL O? Diamond hana makosa kwa hilo sema munachuki zenu kwa CHIBU na ndio maana munakubali Taifa likejeriwe watu wakae kimya !!!! Au huyo Dai aliandika nn kibaya haswaaaa !!!
Mimi na wewe wote tupo timu moja... tunam-support Diamond na kukesha kule kwenye thread yake! Let's be honest here... hivi huo UTUMWA, au u mungu mtu tunaousema kuhusu Davido ni upi? Wengine tunasema Davido anataka anyenyekewe... let's be honest... hii ni local forum kwahiyo hatufichui upumbavu wetu kama wale waliopo Instagram na Tweeter... hivi ni kipi kinachotufanya tuamini kwamba Davido anataka kunyenyekewa manake tumekazana kusema anataka anyenyekewe? Hivi kweli, tukitulia peke yetu chumbani na kuweka emotions zetu pembeni, hivi kweli tunaamini kabisa kwamba Davido alikuwa amemlenga Diamond ile Tweet? Wengine wamekazana kudai kwamba Davido ana dharau... ina maana hizi dharau za Davido zimeanza sasa? Mtafuruku wa Diamond na Davido ulitokea 08.12 wakati tarehe 05/12, yaani siku tatu tu nyuma, Diamond alikuwa ame-post instagram akitangaza kazi mpya ya Davio... ina maana hii jeuri, kujiona mungu mtu, dharau na mambo kama hayo kwa upande wa Davido yalianzia tarehe tarehe 05/12?Mtu akikupa msaada huna budi kumshukuru haswa kwa msaada ambao obo alimpa diamond ambao umemsaidia kumpush mahala flan but ndio isiwe sababu ya utumwa.Uingereza wanatusaidia sana ila ikafika kipindi walitushinikiza tuzitambue haki za mashoga this is wack shit ndio maana serikali iligoma.Ukweli utabaki palepale Diamond kakosea na davido nae ana makosa kila mmoja anapaswa kuomba radhi sasa nawashangaa mnapomshikia bango Diamond pekee...
Mimi na wewe wote tupo timu moja... tunam-support Diamond na kukesha kule kwenye thread yake! Let's be honest here... hivi huo UTUMWA, au u mungu mtu tunaousema kuhusu Davido ni upi? Wengine tunasema Davido anataka anyenyekewe... let's be honest... hii ni local forum kwahiyo hatufichui upumbavu wetu kama wale waliopo Instagram na Tweeter... hivi ni kipi kinachotufanya tuamini kwamba Davido anataka kunyenyekewa manake tumekazana kusema anataka anyenyekewe? Hivi kweli, tukitulia peke yetu chumbani na kuweka emotions zetu pembeni, hivi kweli tunaamini kabisa kwamba Davido alikuwa amemlenga Diamond ile Tweet? Wengine wamekazana kudai kwamba Davido ana dharau... ina maana hizi dharau za Davido zimeanza sasa? Mtafuruku wa Diamond na Davido ulitokea 08.12 wakati tarehe 05/12, yaani siku tatu tu nyuma, Diamond alikuwa ame-post instagram akitangaza kazi mpya ya Davio... ina maana hii jeuri, kujiona mungu mtu, dharau na mambo kama hayo kwa upande wa Davido yalianzia tarehe tarehe 05/12?
Pamoja na mapenzi niliyonayo kwa Diamond lakini wala sioni sababu ya Davido kuomba radhi kwa kuwa hakuna popote alipomtaja Chibu wala Watanzania lakini ukiangalia tweets za Wanaija, unagundua moja kwa moja Davido, sawa na wanaija wengine, wana bifu na Biggie! Kwa upande wa Diamond, uungwana anatakiwa kuomba radhi... kuomba radhi sio kwamba amekosa, la hasha... tweet yake ilikuwa ya kawaida sana! Lakini kiungwana alitakiwa kuomba radhi kwa niaba ya mashabiki wake ambao wala sina haja ya kurudia walichofanya na kuendelea kufanya!! Ingekuwa mashabiki wa Diamond tunapewa kadi za uanachama, ningekuwa tayari kunyang'anywa kadi kuliko kutetea yanayotokea!!! Nitabaki kuwa shabiki wa Diamond lakini kwa hili, Chibu anatakiwa kuomba radhi kwa niaba ya mashabiki wake!
mkuu shukrani kwa neno lako ila unafikr davido alisema they cheated again because last year bba walicheat hvyo hvyo? kwa kumpa dilish wa ethiopia? jarbu kufikir zaid ya hapo halaf busara ni kitu chepesi sana!tatizo mihemko imekujaa heb relax kwanza! davido aliwadiss waandaaji na si idrissa hii ina maana hta km mnamibia angeshinda hyo tweet ingebak the same
Sasa kwa akili ya secondary tuu....wee umeongoza mtihani ticha anakupa zawadi then ana rise mtu na kusema ticha amependelea....it means amemdharau ticha na wewe ambaye umeongoza kwamba huna uwezo wa kuongoza.... ....this z damn....hajui kwamba kuna watu wana akili za wastani but wanaoteaga mitihani(waliposoma jana usiku ndo hicho ticha katoa kwenye mtihani).... so wanafaulu vizuri sanaa na kuongoza.
So davido hata kama anawasema bba....also amem- snitch idris wetu....na Tanzania kwa ujumla
So inabidi aelewe kwamba yeye ni binadamu tuu kama binadamu wengine....aache kujiona yupo juu pia aache dharau...
Me naona bora tuu watu wanavyotusaidia kulee IG na Twitter waendelee tuu hivyo hivyo mpaka aisome namba........
Kwahiyo mtu akikusaidie,,,,, ndio akufanye anavyotaka
Tenda Wema nanda zako aseeeeeeee
ukienda kwenye forum ya wanaijeria jukwaa la celebrity utaona kuna thread wameweka picha ya pamoja diamond na davido,then maelezo ya ile post ya ''N they cheat again'' halafu na reply ya diamond,wao wenyewe wanasema chanel o awards diamond kupewa tuzo davido alimind,kwanza walimwita mpaka s.africa na hakupata tuzo hata moja.
ila wabongo hawaishiwi vituko naona hata huko kwenye forum ya watu wanacomment kwa kiswahili na kutukana kwa kiswahili,forum yenyewe ina member zaidi ya million halafu unaenda kureply watu mle kwa kiswahili,aisee wehu wapo wengi
tatizo mihemko imekujaa heb relax kwanza! davido aliwadiss waandaaji na si idrissa hii ina maana hta km mnamibia angeshinda hyo tweet ingebak the same
unavyomsemea, haya tena vipi kama angeshinda mnaigeria the tweet would remain the same????
davido amemfanya nini diamond??? stick kwny fact mama! ile tweet kwa mtazamo wangu ilikuwa kwa waandaaji wa big brother nashangaa mihemko inatoka wapi?