Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha.
Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?"
Nawaomba hawa watu watanzue tofauti zao kwa amani.
Inanihusu mimi nikiwa kama mwananchi wa mkoa wa Mara.
Huyu Samuel Kiboye,namba 3,ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mara ambaye wanagombana sana na Mbunge Waitara.
 
Mbunge Waitara ni Afande wa Jeshi gani ???
 
Back
Top Bottom