mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Katika Dunia hii, mara tu unapojitambua, kuna mambo ambayo mtu yanaweza kukukuta ni vigumu kuamini macho yako kama binadamu mwenzako anaweza kukutendea
Kuna wakati, kwa sababu ya mambo magumu na ya kushangaza ambayo binadamu mwenzako anaweza kukutendea, utakubaliana nami kwamba, moyo na akili zako zinaweza kukwambia" Nipo Duniani kwa faida ya nani? Nafanya nini? Kunafaida gani ya mimi kuishi? Kwa nini nilizaliwa?
Tunapomaliza Mwaka huu, ni kitu gani kimekuwa kumbukumbu ya kurejelea na hisitoria ambayo haitafutika kwenye maisha yako yote?