ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Sizuii kujadili hizi teuzi lakini naona tunapoteza muda kujadili sungura katikati ya mbwa mwitu mtu mmoja au wawili hawawezi kubadili hali ya utendaji katika mfumo mbovu watu wengi wana uwezo wa kufanya vizuri ila wanajikuta mfumo unawalazimu kufanya wasiyopenda niwakumbushe kidogo wakati wa Magufuli alisikika Jaji Mkuu akielekeza mahakama kutoa hukumu kulingana na Mtawala bahati mabaya watu wengi hamkutaka kutafakari kauli ile halamu na kutaka kujua kilichomsukuma Jaji mkuu kutoa kauli ile maana Rais Magufuli alishasema kuwa yeye nizaidi ya mihimili yote na wenye nchi tukaufyata.
Leo tunajadili hizi teuzi zinazotokana na Katiba hii mbovu nikatiba ya kifamilia katiba ya kugawiana madaraka, Katiba ya CCM, Katiba ya kulinda Watawala na maovu yao. Haya na mengine mengi yanashuhudiwa na wakuu wa dini ngoja niwaguse kidogo uenda wakajirudi.
Katiba ya Mwalimu Nyerere imejaa ukoloni tungekuwa na Katiba nzuri Rais angeeleza sababu za kufukuza uRC Mwanza alafu angeeleza sababu za kumrudisha Kagera kama alivuruga Mwanza uko Kagera atawezaje? Aya mateuzi yasiyo na mipangilio yasingekuwepo haiwezekani kila siku Ikulu kuna afla za kuteuana na kupongezana nchi iko pabaya hali ya maisha imepanda sana mfumko wa bei unatishia uhai wetu mabando, mafuta yakula na petrol havisemwi afu wanatumia kodi zetu nasie tuko kimyaa viongozi wa dini wanasubiri kupongeza ila wasubiri mziki wao zile sheria za Rwanda zinafanyiwa kazi wachungaji wasio na diploma watakaposhughlikiwa ndipo viongozi awa wa dini wataelewa kwamba walishachelewa.
Leo tunapoikosoa serikali tunaonekana wanasiasa lakini hawajui tunazungumzia maisha halisi yanayopitiwa na kila mmoja wetu, ila niwakumbushe siku zinakuja tutakuja makanisani bila ata shilingi 100 maana siwezi kuacha nyumbani hawana unga nikapeleka pesa zangu kwa watu wasiopenda kupinga uovu unaopekekea ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wanadamu.
Aya yangesemwa makanisani na misikitini kwakuwa Watawala awa niwanachama wenu wangebadilika lakini mmeishia kupongeza na kushukuru uku mioyoni mnagugumia maumivu.#KatibaMpyaNiSasa