tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa
Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh
Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa kuliko yeye?
Huyu si alikuwa mtangazaji wa XXL? Kipindi cha kwenye entertainment sasa inakuwaje anaenda kwa michezo?
Hebu wajuvi njooni mnijengee uwezo hapa