tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Mbona umeumia sana kwa mwanadada Meena Ally? Acha akachukue hizo pesa , kwani wapungukiwa nini wewe?Wakuu,
Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa
Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh
Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa kuliko yeye?
Huyu si alikuwa mtangazaji wa XXL? Kipindi cha kwenye entertainment sasa inakuwaje anaenda kwa michezo?
Hebu wajuvi njooni mnijengee uwezo hapa
View attachment 3601004
View attachment 3601008
"Elimu , Elimu ,Elimu" - E.N.L 2015Wakuu,
Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa
Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh
Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa kuliko yeye?
Huyu si alikuwa mtangazaji wa XXL? Kipindi cha kwenye entertainment sasa inakuwaje anaenda kwa michezo?
Hebu wajuvi njooni mnijengee uwezo hapa
View attachment 3601004
View attachment 3601008
Huyo Meena nimemuona jana kwenye kipindi cha Bongo Star search amevalia kagauni fulani + makeup! Alipendeza sana. Halafu ana sauti amazing.Wakuu,
Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa
Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh
Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa kuliko yeye?
Huyu si alikuwa mtangazaji wa XXL? Kipindi cha kwenye entertainment sasa inakuwaje anaenda kwa michezo?
Hebu wajuvi njooni mnijengee uwezo hapa
View attachment 3601004
View attachment 3601008
Alituongelea vizuri goal la chamaHuyo Meena nimemuona jana kwenye kipindi cha Bongo Star search amevalia kagauni fulani + makeup! Alipendeza sana. Halafu ana sauti amazing.
DJ ndo nani Mkuu, tuibie Siri ya hiyo wave mpyaMedia nyingi zitakufa kibudu
CMG Chali, crown, na mwenzake wachafu, IPP itafifia haitokufa kibudu, Uhuru CH10 na TBC zitabaki mapambio, Jf itauzwa, Dj atabadilisha biashara
Hapo ndipo itapokuja wave mpya ya Media baada ya 2035 huko mbeleni unaijua wave mpya? Najua mm peke yangu😂