Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

Vijana wanaopora, kujeruhi na kuua raia wasiuawe kwa risasi maana ni hasara kwa nchi, wapigwe kiberiti.
 
Tofautisha wanaopora, kujeruhi na kuuwa raia bila kujali ni vijana au wazee na watuhumiwa walioko mikononi mwa polisi.
Mkuu huyo usibishane nae Ni ktk Lile kundi linalounga mkono mtuhumiwa kuuawa...hajui kwa nn serikali ina mahakama na magereza....unamuua panyaroad halaf unuacha mwizi wa trillions....Ni upumbavu kuutoa uhai wa mtu kwa Hoja nyepesi..
 
Kwaiyo kupora, kujeruhi na kuua ni hoja nyepesi?
 
Mkuu huyo usibishane nae Ni ktk Lile kundi linalounga mkono mtuhumiwa kuuawa...hajui kwa nn serikali ina mahakama na magereza....unamuua panyaroad halaf unuacha mwizi wa trillions....Ni upumbavu kuutoa uhai wa mtu kwa Hoja nyepesi..

somo la kujifunza hapa ni kwamba "iba kiasi kitakachobadilisha maisha yako"

hata moto mbongumi ulachomwe kihalalu,unaiba simu!!!ujinga mtupu.
 
Ndiyo lugha pekee? Ndiyo Samia anavyosema, CCM au polisi?
Unajibu kwa jazba za kijinga.
Nimesema, 'Kwa bahati mbaya panya road waliacha kusumbua baada ya baadhi yao kuuawa'.

Ni nini ambacho hujakielewa hapo!?
 
Unajibu kwa jazba za kijinga.
Nimesema, 'Kwa bahati mbaya panya road waliacha kusumbua baada ya baadhi yao kuuawa'.

Ni nini ambacho hujakielewa hapo!?

Sijajibu nimeuliza. Sentensi zangu 2 zote ni maswali.

Mwenye jazba za kijinga usiye tofautisha maswali na majibu ni wewe ndugu policeman.
 
Watu wengi hawajui siasa za ndani na nje

Hawa wa kenya hii sio mara ya kwanza wala ya mwisho kuvunja na kuunda kikosi kazi cha polisi wanao kabiliana na uhalifu na kukumbwa na kashifa

Tofauti ni kuwa huwa wanaunda na kuvunja pale kunapo tokea shutma na kuunda tena wakibadili jina

Wame fanya hivyo kwa miaka mingi kuanzia kipindi cha marais wengi walio pita kama wakina moi, na mpaka sasa wakina kenyata na ruto ataunda kingine na kitavunjwa

Walikabiliana na vikundi vya uhalifu vya mungiki na kukiteketeza, uliza watuhumiwa wa mungiki walio kamatwa wapo wapi?

Hivyo ni kawaida kwa kenya na wana hiyo historia yao ya kufanya mambo yao...
 
Back
Top Bottom