Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

Watanzania Wengi wanakuaga na mihemko ya kipuuzi sana sana, wameua vijana Wengi kwa kisingizio Cha Panyaroad
 
Mkuu tofautisha mijinga na mtanzania. Watanzania waaojitambua wagalipo.

Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

Ukimchanganya na Mr Dudumizi kwamba ana jema la kuwongelea Lissu ujue umeingia chaka.
Lisu ni mtanzania kama tulivyo mimi na wewe. Kwahiyo akifanya jema nitamsifu kwa wema, akifanya mabaya nitamponda kwa mabaya.

Mimi namshukuru Mungu nipo huru kuandika chochote na kumsifu yeyote iwe Lisu, Magufuli, Samia, Zito nk.

Tofauti na wewe ambae hauwezi kumsifu mtu ambae mwenyekiti wako hajakwambia usimsifu hata kama aliyoyafanya yanastahili kusifiwa na kupongezwa.

Tumeona wengi mlivyokuwa mnamponda Magufuli hata kwa yale mazuri aliyokuwa anayafanya kwa taifa. So lazima tutofautiane mawazo kati ya mimi ambae niko huru na wewe ambae post zako zinachunguzwa na viongozi wako ili kujua umeandika post yenye mlengo gani.
 
Ninatambua juhudi zako uchwara kumtumia Lissu kama kichaka Ili kutaka kumponda Nyerere asiye madarakani leo.

IMG_20221017_103027_006.jpg

Nikukumbushe kwa mara nyingine ninayo heshima kubwa kwa muasisi wa taifa hili aliyetujengea uthubutu wa kuhoji. Si kwa walioliuwa taifa hili kwa kuwajaza watu kama wewe hofu.

Nadhani unanisoma vyema ndugu opportunist:

Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

Mlipo full kuimba mapambio ya kusifu kusaka teuzi.

Cc: Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom