Tunapolalamikia Tozo za Miamala tukumbuke Ndugulile naye ameshatuletea "Airtime Levy" kwenye Vocha za simu

Tunapolalamikia Tozo za Miamala tukumbuke Ndugulile naye ameshatuletea "Airtime Levy" kwenye Vocha za simu

Mwigulu, Ndugulile na Zungu ndio viungo wachezeshaji kama enzi za xavi,iniesta, na busquets...halafu mama ndio anaupiga mwingi...yeye ni Messi, anamaliza mchezo wote wa miamala[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Na Pep Guardiola ni nani hapo?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ccm hamjawahi kuwa upande wa wananchi
Tena ccm kumejaa vilaza hatari.

Usijeshangaa na wale wabunge wa kuteuliwa na mwendazake (maana bunge la sasa lina wabunge wa viti maalum tu, hakuna aliyechaguliwa!) nao wakaanza kulalamika kuhusu tozo za kijambazi tunazopigwa... So sad.
 
Kwa hesabu rahisi vileo vinachangia pato kubwa sana nadhani ndiyo vinaongoza kwa makusanyo kwa hiyo kupunguza bei ni kuongeza watumiaji huwenda tukakusanya zaidi ya kile tulichopunguza

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa nini hii logic isitumike kwenye Miamala, kwamba makato yakiwa chini basi Watumiaji watakuwa wengi?.
 
Kwa hesabu rahisi vileo vinachangia pato kubwa sana nadhani ndiyo vinaongoza kwa makusanyo kwa hiyo kupunguza bei ni kuongeza watumiaji huwenda tukakusanya zaidi ya kile tulichopunguza

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mbona bei za vileo ziko pale pale,au waliwapunguzia watu wa viwandani na si walaji?
 
Back
Top Bottom