Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

Nilikimbilia kufungua huu uzi nikijua kuna bonge la content... Chedema bhana... Nawapenda ila sometimes mnazingua kwa huu ukurupukaji...
 
Ukusikiliza sana wanasiasa unaweza ogopa sana kuhusu hili gonjwa, laikin ukiludi mtaani kwako/katika jamii unayoishi yanayoongelewa n tofauti na uhalisia, naona tunaamuwa kwenda na trending ya WHO ila hakuna uhalisia huo.
CORONA ipo ila n kama magonjwa mengine, coz toka itangazwe kuingia nchini cjawai vaa barakoa, nashinda kwenye mikusanyiko na bado afya yangu na watu tunaonana mala zote wote tupo salama.
Naamini katika upinzani ila tusiwafanye kama ndio miungu watu kwamba kila wanaloongea ni sahihi, mapambano dhidi ya covid na Magu yaliendeshwa vizuri
 
Uzuri wa hii kitu inaua ghafla tu , ngoja tuone kama kesho utakuwepo
 
Chadema ndio Future
russsmug.png
 
Ukusikiliza sana wanasiasa unaweza ogopa sana kuhusu hili gonjwa, laikin ukiludi mtaani kwako/katika jamii unayoishi yanayoongelewa n tofauti na uhalisia, naona tunaamuwa kwenda na trending ya WHO ila hakuna uhalisia huo.
CORONA ipo ila n kama magonjwa mengine, coz toka itangazwe kuingia nchini cjawai vaa barakoa, nashinda kwenye mikusanyiko na bado afya yangu na watu tunaonana mala zote wote tupo salama.
Naamini katika upinzani ila tusiwafanye kama ndio miungu watu kwamba kila wanaloongea ni sahihi, mapambano dhidi ya covid na Magu yaliendeshwa vizuri
Maza anataka kuanza kucheza mziki ambao hajui mapigo yanaendaje...

Kuna watu wanakuza issue ya corona mpaka ukiwasikiliza unaweza ogopa kutoka ndani kwako.
 
Kabisa yan, tumeshindwa kuchukulia uhalisia wa mitaani kwetu, wanataka kutuamshia hofu mpya
 
Maza anataka kuanza kucheza mziki ambao hajui mapigo yanaendaje...

Kuna watu wanakuza issue ya corona mpaka ukiwasikiliza unaweza ogopa kutoka ndani kwako.

Tunataka kuiga baadhi ya mambo yanayofanywa na nchi zinazopelekeshwa mchakamchaka na hili gonjwa kuliko hali tuliyonayo.
 
Back
Top Bottom