Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa kushinda mechi za ugenini tofauti na timu nyingine ikilengwa simba sc ambayo haina rekodi hiyo kivile japo imeshawahi kushinda ugenini.
Halafu mnavyosema kuwa nyie malengo yenu ni kupata alama ( points ) tisa Dar es Salaam kwa Mkapa ili ziwavushe na kwamba mechi za ugenini kwenu hazina umuhimu nani aliyewadanganyeni kuwa mwenye points ( alama ) tisa ( 9 ) ndiyo anavuka kwenda robo fainali?
Mkiambiwa hamna akili mnakataa