mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Majority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm tusiipe 100%)
Je, mchina aliyewekeza hapa Tz tokea miaka ya 60s ataweza kuhimili hasara ya kupoteza baadhi ya biashara zake (haramu+halali) pale ccm itolewe madarakani?
Vipi kuhusu wale Business Tycoons wa jamii za wa Asia wa kusini yaani Mogsm et al (wahindi+waarabu) mtaweza kuwashawishi na kipi kwamba CCM ni chama cha kinyonyaji wakati wao ndio wanufaikaji wa Keki ile ya taifa? Sisi inabidi tufikirie pande zote.. Aliyetudanganya eti CCM inategemea Vikura vyetu vya makaratasi kwenye masanduku ya plastiki kushikiliia utawala wa nchi inabidi tumtafute tumchape viboko..
Hao ndio BIG BOYS wenyewe. Na ni REAL.