We umesema na nani kwamba CCM itoke madarakani? Acha upuuzi bwanamdogo km ni mawazo yako tumia haki yako usiwasemee wengineMajority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm tusiipe 100%)
Je, mchina aliyewekeza hapa Tz tokea miaka ya 60s ataweza kuhimili hasara ya kupoteza baadhi ya biashara zake (haramu+halali) pale ccm itolewe madarakani?
Vipi kuhusu wale Business Tycoons wa jamii za wa Asia wa kusini yaani Mogsm et al (wahindi+waarabu) mtaweza kuwashawishi na kipi kwamba CCM ni chama cha kinyonyaji wakati wao ndio wanufaikaji wa Keki ile ya taifa? Sisi inabidi tufikirie pande zote.. Aliyetudanganya eti CCM inategemea Vikura vyetu vya makaratasi kwenye masanduku ya plastiki kushikiliia utawala wa nchi inabidi tumtafute tumchape viboko..
Hao ndio BIG BOYS wenyewe. Na ni REAL.
Kabisa✌️Kama ccm walivuka ile 2015,na wakifanikiwa kuvuka tena hii 25na 30 basi utabiri wa mzee mwinyi itafanyika sherehe ya miaka 100 ya ccm.
Bila ht haya eti majority yetu, hao majority ni hawa misukuke wa humu JF ambao hawana ht kadi za kupigia kura? Hakuna viumbe wapumbavu km wafuasi wa chadema, ukifika wakati wa kujiandikisha wanafanya kampeni watu wasijiandikishe, muda wa kusaini fomu za maadili ya uchaguzi wamegoma, maana yake wamejitoka kwenye uchaguzi km ukweli ulivyo hv sasa. Hiyo kura mtapiga kwa njia gani ya kuitoa CCM madarakani? Nyie kawapigieni nyumbu wenzenu kura kule porini. Chadema yenyewe ya kuishinda CCM iko wapi, Lissu, Heche na Lema? Hv mnawachukuliaje watanzania? Ht km uchaguzi ungesimamiwa na EU Lissu hapati ht 10%, watanzania wana akili nyie wapumbavu. Kweli kabisa kuna mpumbavu anawaza Lissu atakuwa Rais wa nchi hii? Ni maajabu. Chadema imeshakufa nyie jifurahisheni humu JFMajority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm tusiipe 100%)
Je, mchina aliyewekeza hapa Tz tokea miaka ya 60s ataweza kuhimili hasara ya kupoteza baadhi ya biashara zake (haramu+halali) pale ccm itolewe madarakani?
Vipi kuhusu wale Business Tycoons wa jamii za wa Asia wa kusini yaani Mogsm et al (wahindi+waarabu) mtaweza kuwashawishi na kipi kwamba CCM ni chama cha kinyonyaji wakati wao ndio wanufaikaji wa Keki ile ya taifa? Sisi inabidi tufikirie pande zote.. Aliyetudanganya eti CCM inategemea Vikura vyetu vya makaratasi kwenye masanduku ya plastiki kushikiliia utawala wa nchi inabidi tumtafute tumchape viboko..
Hao ndio BIG BOYS wenyewe. Na ni REAL.
Kabisa vizazi hubadilika, Tanzania ya sasa sio ile ya miaka ya 2000 ambayo hata mimi nilikua naimba ccm mbele kwa mbele🤔Kizazi cha 1995-2000 haikijaanza Ku hold power Ila ikifika zamu hiyo ujue sisiemu ndo basi tena
Sahihi 💯Kizazi cha 1995-2000 haikijaanza Ku hold power Ila ikifika zamu hiyo ujue sisiemu ndo basi tena
Una hoja nzuri sana.. ila haileti picha kuchanganya matusi..Mbona mada inajadilika pasipo Matusi?Bila ht haya eti majority yetu, hao majority ni hawa misukuke wa humu JF ambao hawana ht kadi za kupigia kura? Hakuna viumbe wapumbavu km wafuasi wa chadema, ukifika wakati wa kujiandikisha wanafanya kampeni watu wasijiandikishe, muda wa kusaini fomu za maadili ya uchaguzi wamegoma, maana yake wamejitoka kwenye uchaguzi km ukweli ulivyo hv sasa. Hiyo kura mtapiga kwa njia gani ya kuitoa CCM madarakani? Nyie kawapigieni nyumbu wenzenu kura kule porini. Chadema yenyewe ya kuishinda CCM iko wapi, Lissu, Heche na Lema? Hv mnawachukuliaje watanzania? Ht km uchaguzi ungesimamiwa na EU Lissu hapati ht 10%, watanzania wana akili nyie wapumbavu. Kweli kabisa kuna mpumbavu anawaza Lissu atakuwa Rais wa nchi hii? Ni maajabu. Chadema imeshakufa nyie jifurahisheni humu JF
Sangamwalogesha una ithibati gani ya kuniita bwana mdogo? Anyway turudi kwenye topiki mimi Namwongelea nani? Umeelewa hapo niliposema Bigboys?We umesema na nani kwamba CCM itoke madarakani? Acha upuuzi bwanamdogo km ni mawazo yako tumia haki yako usiwasemee wengine
DR HAYA LAND 30 JR umeongea jambo simple lakini ni hoja nzito sana hii. Unataka kuniambia hao Watoto wa Ccm seniors hawaandaliwi kuchukua mikoba?Kizazi cha 1995-2000 haikijaanza Ku hold power Ila ikifika zamu hiyo ujue sisiemu ndo basi tena
Kwamba divai mpya ila chombo cha zamani?🤣Iko hivi ccm itaondoka madarakani ila watu watakaongoza nchi ni hao hao tunaowaona ccm
Kama kina nchema ridhiwani n.k ni kama Kenya na hao big names huwa hawana shida na chama wanashida na mtu ndio maana walimfinance sana lowasa ila ikashindikana
Tanzania ukishakuwa mpinzani akili inaporomoka unaamini vitu ambavyo haviwezekaniBila ht haya eti majority yetu, hao majority ni hawa misukuke wa humu JF ambao hawana ht kadi za kupigia kura? Hakuna viumbe wapumbavu km wafuasi wa chadema, ukifika wakati wa kujiandikisha wanafanya kampeni watu wasijiandikishe, muda wa kusaini fomu za maadili ya uchaguzi wamegoma, maana yake wamejitoka kwenye uchaguzi km ukweli ulivyo hv sasa. Hiyo kura mtapiga kwa njia gani ya kuitoa CCM madarakani? Nyie kawapigieni nyumbu wenzenu kura kule porini. Chadema yenyewe ya kuishinda CCM iko wapi, Lissu, Heche na Lema? Hv mnawachukuliaje watanzania? Ht km uchaguzi ungesimamiwa na EU Lissu hapati ht 10%, watanzania wana akili nyie wapumbavu. Kweli kabisa kuna mpumbavu anawaza Lissu atakuwa Rais wa nchi hii? Ni maajabu. Chadema imeshakufa nyie jifurahisheni humu JF
Mimi ni mwana ccm lakini nikwambie TU ukweli nchi hii ni tajiri tatizo viongozi, jiulize kwa nini magufuri aliweza?Tanzania ukishakuwa mpinzani akili inaporomoka unaamini vitu ambavyo haviwezekani