GE2025 Tunaposema kwamba CCM itoke madarakani, tumewahi kufikiria Hili?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

CCM lazima tu itatoka madarakani, lakini siyo kwa Uchaguzi uchwala na maigizo ya Ghiriba Kama huo wanaotaka kufanya mwezi Oktoba Mwaka huu wa 2025
 
Hofu Yako ndio unafanya CCM wajichotee pesa tu.

Acha hofu, chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…