Tunaposema tunataka katiba mpya,kwani ni yote ya kuibadili au ni baadhi ya vipengele?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Hallelujah hallelujah!

Ombi langu kwa serekali yetu tukufu,sioni umaana wa kubadilisha katiba yote kwa maana ya kuanza upya,je haiwezekani jambo hili likafanywa kwa kugeuza baadhi ya vipengele ambavyo vimeshindwa kuendana na wakati wa sasa?

*Kwa imani yangu vipengele vinavuopigiwa sana kelele ni haswa kuhusu uchaguzi huru na mfumo wake!

*Kuhusu serekali na rais kuweza kushtakiwa

*Matokeo ya uchaguzi yawezekane kupingwa mahakamani

*Na hili la serekali mbili,au tatu au twende kwenye moja?

====================

Haya ndiyo yamekuwa kilio kikubwa sana kwa upinzani,je hayawezi kurekebishwa bila kutumia mabilioni yasiyo na msingi wowote?

***Mnaweza kuongeza vipengele ili tu serekali isibebe mzigo na wapigaji wakaingiza mikono hapo!
 
Tumepokea maoni yako.

Wataalamu wetu watakutembelea ili wapate maoni yako zaidi kwenye hilo eneo. Tunatumaini utawapa ushirikiano wa hali na mali. Katika kuonesha nia madhubuti kwenye kuliendea wazo lako, unaonaje ukituwekea namba yako ya simu hapo kwenye uzi na mtaa unakopatikana ili wataalamu wetu waweze kukuona
 
Hakuna shida yoyote naweka namba,lengo tupate katiba bila kutumia gharama kubwa ikaathiri shughuli za kimaendeleo!.......
Rais wetu alishahaidi suala hili,ni chadema wanaharaka nalo kupita kiasi,hivyo kututengenezea ghasia za kijinga.
 
Leave Chadema out of the picture.
Wao kama chama cha upinzani wana Haki zote za kulisemea hilo jambo kwa namna wanayoona inafaa bila kuvunja sheria za nchi.

Tukija kwako, bado tunasisitiza utupe ushirikiano ili hoja yako ianze kufanyiwa kazi na maafisa wetu.
 
Hallelujah hallelujah!
Ombi langu kwa serekali yetu tukufu,sioni umaana wa kubadilisha katiba yote kwa maana ya kuanza upya,je haiwezekani jambo hili likafanywa kwa kugeuza baadhi ya vipengele ambavyo vimeshindwa kuendana na wakati wa sasa?

*Kwa imani yangu vipengele vinavuopigiwa sana kelele ni haswa kuhusu uchaguzi huru na mfumo wake!

*Kuhusu serekali na rais kuweza kushtakiwa
*Matokeo ya uchaguzi yawezekane kupingwa mahakamani
====================
Haya ndiyo yamekuwa kilio kikubwa sana kwa upinzani,je hayawezi kurekebishwa bila kutumia mabilioni yasiyo na msingi wowote?
***Mnaweza kuongeza vipengele ili tu serekali isibebe mzigo na wapigaji wakaingiza mikono hapo!
Katiba mpya sio kwamba inafuta vyote vya zamani.
Bali inaboresha na kuongeza baadh ya vipengele.

Wapinzan ni kweli wanataka Tume huru ya Uchaguzi iwe huru. Na wanaochaguliwa wasiwe na Chama cha siasa.

Ila Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, na Wilaya (DEDs) walikuwa ndio wasimamizi wa uchaguzi wa moja kwa moja kwenye maeneo yao kwa mujibu wa nafasi zao za kazi.
Na hawa wote wanachaguliwa na Raisi.

Haya ni ya kisiasa ila yako meng yanamhusu hata asiye na chama.
Mfano sasahiv tuna uhuru wa kuongea ila Rasim ya katiba hii inampa mwananchi yoyote uhuru wa kwenda mahakaman kumshtak kuongoz flan kuwa amefanga hivi au vile kinyume na Haki.
Yaan Kiongozi akikuzingua na ww unaenda mahakaman kumzingua 😊😊😊
Akiwa na Mali nying una haki ya kuuliza kapataje. Maana Katiba inasema akiingia madarakan aseme mali zake na akimaliza aseme pia.

Ni meng rasim inaongea kuhusu Haki na wajibu wa Wananchi.
Pia Raisi amepunguziwa madaraka.
Pia kuna muundo wa serikal 3.
 
Upo vyema sana,binafsi nakubaliana na serekali 3, Tunaweza iweka ile rasimu pembeni kidogo tuka rekebisha hii au tukatoa vipande kutoka kwenye rasimu tukavijazia kwenye katiba mpya,pia suala la serekali tatu 3, lisipowekwa vizuri linaweza kugeuka gate-a-way ya kuvunja muungano wetu mzuri sana huu.
 
""Uzi huu upo very trickly and equationic status,ili kule kwenye afcon na kwingineko twende tukiwa pamoja na wamoja kiroho safi,tusiaibike ""
 
Back
Top Bottom