Yaani tukimbie timu tuliyoifunga mara nyingi kuliko timu yeyote duniani?kolo una shida mahaliMbna kwenye NANI ZAIDI mlikimbia??? Vinyesi FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Kwanini asiweke kwanza head to headUkimaliza weka na mechi za kimataifa
Manara kumbe kawachota wengi na kauli hiyoYaani tukimbie timu tuliyoifunga mara nyingi kuliko timu yeyote duniani?kolo una shida mahali
Mpuuzi Rais wenu Ng'wamedi alimwaga hela akadanganya kwamba ni za wanachama kumbe mzigo wote ulikuwa wa kwake!Mbna kwenye NANI ZAIDI mlikimbia??? Vinyesi FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Mudi alikuwa anatoa pesa mfuko wa kulia na kuweka mfuko wa kushoto.Mpuuzi Rais wenu Ng'wamedi alimwaga hela akadanganya kwamba ni za wanachama kumbe mzigo wote ulikuwa wa kwake!
Yeah! Yanga wakastuka! Nyaunyau huwa hazijielewi!Mudi alikuwa anatoa pesa mfuko wa kulia na kuweka mfuko wa kushoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufika penyeweee eeeh??? Sasa tulia hivyo hivyo. Lol.Yaani tukimbie timu tuliyoifunga mara nyingi kuliko timu yeyote duniani?kolo una shida mahali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GSM alishindwa nn kufanya hivyo?? Sindano imeingia penyeweeee. Tulia hivyo hivyo.Mpuuzi Rais wenu Ng'wamedi alimwaga hela akadanganya kwamba ni za wanachama kumbe mzigo wote ulikuwa wa kwake!
GSM hana mambo ya kijinga![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GSM alishindwa nn kufanya hivyo?? Sindano imeingia penyeweeee. Tulia hivyo hivyo.
Byuti byuti.
Hapo umezungumzia mapato ya ligi kama kweli ni kubwa kama mnavyodai inabidi. Uonyeshe ukubwa wako nje ya TanzaniaKwanini tuweke mechi? Kwanini isiwe KOMBE?[emoji23]
Kwenu nayeweza kuongeza wakanielewa ni kikwete na Sunday ManaraKwanini asiweke kwanza head to head