Tunaposema Yanga ni LIDUDE likubwa hii ndio tafsiri yake

Tunaposema Yanga ni LIDUDE likubwa hii ndio tafsiri yake

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ukubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi.

Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi kuu Tanzania.

Msimu wa 4 mfululizo hatuna mpinzani.

Sio kwammba ni bahati mbaya, la hasha. Bali ni ukubwa Maalumu.View attachment 2313354
20220803_231559.jpg
 
Mbna kwenye NANI ZAIDI mlikimbia??? Vinyesi FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
Mpuuzi Rais wenu Ng'wamedi alimwaga hela akadanganya kwamba ni za wanachama kumbe mzigo wote ulikuwa wa kwake!
 
Yaani tukimbie timu tuliyoifunga mara nyingi kuliko timu yeyote duniani?kolo una shida mahali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufika penyeweee eeeh??? Sasa tulia hivyo hivyo. Lol.

Byuti byuti.
 
Mpuuzi Rais wenu Ng'wamedi alimwaga hela akadanganya kwamba ni za wanachama kumbe mzigo wote ulikuwa wa kwake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GSM alishindwa nn kufanya hivyo?? Sindano imeingia penyeweeee. Tulia hivyo hivyo.

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom