tunapoteza muda na kuunda serikali 3, kama moja haiwezekani

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
nionavyo mimi wazenji wanataka haki ya kujitawala na kujisimamia katika mambo yao na ustawi wao kwa ujumla, nadhani hili ndilo lililopelekea mpaka sasa kuunda tume za kushughulikia mambo ya muundo wa katiba wa serikali 3. lakini pengine kwa kulinda katiba kitu ambacho ccm imeapa kukifanya imeamua kuzunguka mbuyu kwa kurahisisha mchakato wa serikali 3 badala ya ule wa 2 iliyokuwa ikiiutetea awali. sababu za kung'anga'na na serikali 3 ni kuwa serikali moja haiwezekani, na kwanini serikali moja haiwezekani ? jibu ni kuwa wazanzibari wanataka serikali yao na katiba yao kwa ajili ya ustawi wa maendeleo yao ambao wameona kuwa tunawachelewesha. sasa kati ya bara na visiwani ni nani anataka serikali tatu?

tukiwa kama wabara
hivi tuna hasara gani bara kwa kuvunja muungano?
hivi tunanufaika vipi kwa kuendelea kuungana na zanzibar?

Binafsi naona hasara ni nyingi kuendelea kuungana na zanzibar kuliko kuachana nao mapema kabisa pia naona hata wao wanapata hasara sana ya kuendelea kuungana na sisi. hivyo muungano una hasara.laiti zanzibar ingekuwa nchi pengine ingekuwa mbali zaidi ya hapa.

nachoweza kusema duniani tunawasomi wengi sana lakini idadi yao inafanya mambo kuwa komplex sana, badala ya kuyanyoosha tunafanya maisha kuwa magumu kwa kujaribu kujibu fumbo gumu sana wakati tungeweza kutumia njia rahisi. i think ni bora tuwe na serikali moja kama vipi tuachane mapema.
 
Naona hiyo paragraph ya mwisho umejichanganya sana. Pili Zanziba tayari wana katiba yao inaowatambulisha wao ni nchi kamili, pia wana bendera yao na wimbo wa taifa lao. Hivyo wanaodai serikali mbili ni kiini macho tu. Kama serikali tatu haiwezekani basi ujie muungano haupo tena.
 
Hili gazeti lako ulianza visuri sana ila mwisho lazima ufanye ule unani hino 😱wako
 
mkuu naona mnakosoa paragraph ya mwisho, ikumbukwe kuwa pamoja na zanzibar kuwa na katiba yao, vitambulisho vya uraia, wimbo wa taifa, bendera yao, rais wao kupigiwa mizinga, kuwa na taasisi yao ya kukusanya mapato(i mean TRA yao). Rais wa muungano J. kikwete aliwahi kumtetea mizengwe pinda alipobanwa bungeni kuwa zanzibar sio nchi.na kuzima utata uliojitokeza kuhusu uhalali wa zanzibar kama nchi pale alipokanusha kuwa zenji sio nchi na wengi wakitetea mfumo wetu na kuufananisha kama wa waingereza..
 
Hili gazeti lako ulianza visuri sana ila mwisho lazima ufanye ule unani hino 😱wako
mkuu labda nijieleze vizuri kwa maswali
>1 kwanini hatutaki kuwa na serikali moja kama tunapenda kuungana?
>2. Kwanini tunang'angania serikali 3, je hizo gharama zote za nini kama tunataka kuwa taifa moja lenye umoja. na je kila serikali itawezaje kuwa sovereignty state katika mfumo huu. je kuna fyucha hapo? serikali ya 3 haitakuwa na ardhi je tutaichangia kwa usawa na je ikifikia wakati na sisi tunaunda katiba yetu, je si tunaweza kuwa na maoni yasioungwa mkono na serikali ya visiwani au hatutaunda katiba ya kwetu kwa kutegemea serikali ya muungano?
ni kama kujiuliza ikiwa mkeo hataki kulala chumba kimoja na wewe anaipenda ndoa badala yake anaamua kuhamia chumba kingine na wewe kingine akijiita kuwa kaolewa? nadhani jibu hapendi ndoa, yupo na wewe basi tu.
 
Nazugungumzia hili la serikali moja. Kuunda serikali moja inamaanisha kufuta kabisa utambulisho wa nchi ya zanzibar na katiba yake. Cha kujiuliza wewe mwenyewe ni je wazanzibar wangapi watakaokubali kuupoteza utambulisho wao?
 
of coz mkuu,:A S thumbs_up: hawa jamaa hawataki hilo la kuupoteza utambulisho wao tofauti na sisi (wabara)ambao pengine hatuukumbuki kabisa ama ulishapotezwa siku nyingi, swali la kujiuliza kwanini tusiachane kuliko kuendelea na muungano wa kimashakamashaka uliodumu kwa muda wa zaidi ya miaka 50 huku tukilazimisha utaifa, kama ni hivyo ili utambulisho wao udumu ama kwanini tunaung'ang'ania muungano ama ni nani kati yetu anayeung'ang'ania muungano?.
 
sipendi, sipendi kabisa Zanzibar kuitwa nchi badala ya mkoa mmojawapo hapa nchini, pia sielewi inakuwaje vigumu kuwa na serikali moja tu ya muungano
 
Back
Top Bottom