2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
nionavyo mimi wazenji wanataka haki ya kujitawala na kujisimamia katika mambo yao na ustawi wao kwa ujumla, nadhani hili ndilo lililopelekea mpaka sasa kuunda tume za kushughulikia mambo ya muundo wa katiba wa serikali 3. lakini pengine kwa kulinda katiba kitu ambacho ccm imeapa kukifanya imeamua kuzunguka mbuyu kwa kurahisisha mchakato wa serikali 3 badala ya ule wa 2 iliyokuwa ikiiutetea awali. sababu za kung'anga'na na serikali 3 ni kuwa serikali moja haiwezekani, na kwanini serikali moja haiwezekani ? jibu ni kuwa wazanzibari wanataka serikali yao na katiba yao kwa ajili ya ustawi wa maendeleo yao ambao wameona kuwa tunawachelewesha. sasa kati ya bara na visiwani ni nani anataka serikali tatu?
tukiwa kama wabara
hivi tuna hasara gani bara kwa kuvunja muungano?
hivi tunanufaika vipi kwa kuendelea kuungana na zanzibar?
Binafsi naona hasara ni nyingi kuendelea kuungana na zanzibar kuliko kuachana nao mapema kabisa pia naona hata wao wanapata hasara sana ya kuendelea kuungana na sisi. hivyo muungano una hasara.laiti zanzibar ingekuwa nchi pengine ingekuwa mbali zaidi ya hapa.
nachoweza kusema duniani tunawasomi wengi sana lakini idadi yao inafanya mambo kuwa komplex sana, badala ya kuyanyoosha tunafanya maisha kuwa magumu kwa kujaribu kujibu fumbo gumu sana wakati tungeweza kutumia njia rahisi. i think ni bora tuwe na serikali moja kama vipi tuachane mapema.