Tunapotoshwa uchumi wa Rwanda ni mzuri wakati si kweli unadorora.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Tunaaminishwa na kupotoshwa uchumi wa Rwanda ni mzuri na wananchi wake wote hali yao ya uchumi na maisha ni bora kuliko wote kwenye maziwa makuu wakati si kweli.

Wananchi wengi wa Rwanda sasa hivi wanaishi kwa dhiki, huduma za kijamii zimedorora.

Pia kuna uhaba wa maji raia wengi wanashindwa kupata maji safi na salam na umeme kukatika katika hovyo hovyo. Hayo yote yanazuiwa kutangazwa.

Na hali hii ikizidi itabidi wanyarwanda wengi waamue njia mbadala na juhudi zao binafsi kupata maji badala ya kutegemea serikali ya kidikteta chini ya dikteta mbishi na mjeuri Paul Kagame ambayoimeshindwa kuwahudumia wananchi.

Vikwazo ambavyo Rwanda imepewa na Magharibi inazidi kudidimiza uchumi

Lakini nje ya Rwanda utadhani ni nchi ya ulimwengu wa kwanza lakini ground kuna njaa kali sana.

Screenshot_20260917_232100_Facebook.jpg

Senior JF great lakes correspondent and geopolitical expert!

adriz
 
View attachment 3702239

Janja janja govt.
 
Dah sijui nimuombe MODS wafute huu uzi. Yule jamaa alivyo katili anakufuata hadi nje ya mipaka ya Tanzania.

Mods amfaking scared!
Kagame akikukata kichwa sisi tunamchukua Vale mazima.

Kufa kufaana dadeki.
 
Dogo semenya wa ukaldayo huo mkono ntakavyoutembeza mkithubutu kunipokonya Vale wangu mtajuta kuzaliwa.
 
Tunaaminishwa na kupotoshwa uchumi wa Rwanda ni mzuri na wananchi wake wote hali yao ya uchumi na maisha ni bora kuliko wote kwenye maziwa makuu wakati si kweli.

Wananchi wengi wa Rwanda sasa hivi wanaishi kwa dhiki, huduma za kijamii zimedorora.

Pia kuna uhaba wa maji raia wengi wanashindwa kupata maji safi na salam na umeme kukatika katika hovyo hovyo. Hayo yote yanazuiwa kutangazwa.

Na hali hii ikizidi itabidi wanyarwanda wengi waamue njia mbadala na juhudi zao binafsi kupata maji badala ya kutegemea serikali ya kidikteta chini ya dikteta mbishi na mjeuri Paul Kagame ambayoimeshindwa kuwahudumia wananchi.

Vikwazo ambavyo Rwanda imepewa na Magharibi inazidi kudidimiza uchumi

Lakini nje ya Rwanda utadhani ni nchi ya ulimwengu wa kwanza lakini ground kuna njaa kali sana.

View attachment 3702239

Senior JF great lakes correspondent and geopolitical expert!

adriz
Kuna umuhimu gani wa KuniTag ?
 
Back
Top Bottom