Janja janja govt.Tunaaminishwa na kupotoshwa uchumi wa Rwanda ni mzuri na wananchi wake wote hali yao ya uchumi na maisha ni bora kuliko wote kwenye maziwa makuu wakati si kweli.
Wananchi wengi wa Rwanda sasa hivi wanaishi kwa dhiki, huduma za kijamii zimedorora.
Pia kuna uhaba wa maji raia wengi wanashindwa kupata maji safi na salam na umeme kukatika katika hovyo hovyo. Hayo yote yanazuiwa kutangazwa.
Na hali hii ikizidi itabidi wanyarwanda wengi waamue njia mbadala na juhudi zao binafsi kupata maji badala ya kutegemea serikali ya kidikteta chini ya dikteta mbishi na mjeuri Paul Kagame ambayoimeshindwa kuwahudumia wananchi.
Vikwazo ambavyo Rwanda imepewa na Magharibi inazidi kudidimiza uchumi
Lakini nje ya Rwanda utadhani ni nchi ya ulimwengu wa kwanza lakini ground kuna njaa kali sana.
View attachment 3702239
Senior JF great lakes correspondent and geopolitical expert!
adriz
utakuwa umewaona wahaya maana wanafanana sana na WanyarwandaHao warwanda sasa hivi ni mabaamedi hapa dar pamoja na ndugu zao waburundi
🔥🔥🔥Senior JF great lakes correspondent and geopolitical expert!
Kagame akikukata kichwa sisi tunamchukua Vale mazima.Dah sijui nimuombe MODS wafute huu uzi. Yule jamaa alivyo katili anakufuata hadi nje ya mipaka ya Tanzania.
Mods amfaking scared!
Kuna umuhimu gani wa KuniTag ?Tunaaminishwa na kupotoshwa uchumi wa Rwanda ni mzuri na wananchi wake wote hali yao ya uchumi na maisha ni bora kuliko wote kwenye maziwa makuu wakati si kweli.
Wananchi wengi wa Rwanda sasa hivi wanaishi kwa dhiki, huduma za kijamii zimedorora.
Pia kuna uhaba wa maji raia wengi wanashindwa kupata maji safi na salam na umeme kukatika katika hovyo hovyo. Hayo yote yanazuiwa kutangazwa.
Na hali hii ikizidi itabidi wanyarwanda wengi waamue njia mbadala na juhudi zao binafsi kupata maji badala ya kutegemea serikali ya kidikteta chini ya dikteta mbishi na mjeuri Paul Kagame ambayoimeshindwa kuwahudumia wananchi.
Vikwazo ambavyo Rwanda imepewa na Magharibi inazidi kudidimiza uchumi
Lakini nje ya Rwanda utadhani ni nchi ya ulimwengu wa kwanza lakini ground kuna njaa kali sana.
View attachment 3702239
Senior JF great lakes correspondent and geopolitical expert!
adriz
Watakuwa kazi maalum hao😀Hao warwanda sasa hivi ni mabaamedi hapa dar pamoja na ndugu zao waburundi