Tunapowahamishia watu wilaya nyingine turahisishe huduma

Tunapowahamishia watu wilaya nyingine turahisishe huduma

Milazetu

Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
32
Reaction score
22
Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya wilaya kupata huduma kwahiyo watu hawa wanazunguka manispaa ya Songea ndipo waende kupata huduma za kiserikali makao makuu ya wilaya yao.

Kwa huduma zote muhimu kwao wanapata manispaa ya Songea kama mahitaji muhimu ya kila siku au hata dharula ya kipolisi.Kutoka kijijini hapo kuja manispaa nauli 1000,lakini kwenda huko Namtumbo inafika3000.Sasa serikali kwanini isirudishe kijiji hiki Manispaa ya Songea kwa huduma?
 
We mngoni acha kulia lia mnaongoza kwa kuchagua CCM kwa ujumla
 
Back
Top Bottom