INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

Naomba kuuliza mkuu...
Mashine za kuprint mbao zinauzwa sh ngapi?? Zapatikana sehemu gani??
NB. Nipo tarime ndani ndani huku gari mpaka siku ya mnada😅
 
Naomba kuuliza mkuu...
Mashine za kuprint mbao zinauzwa sh ngapi?? Zapatikana sehemu gani??
NB. Nipo tarime ndani ndani huku gari mpaka siku ya mnada[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zinapatikana sasa sijui wewe unataka size gani.

Chukua namba njoo Whatsapp
0759413270

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee nipo mabibo jua jua.
 
Mkuu maelekezo nipo hiyo njia ya kuelekea chini.
Pole Mkuu, [emoji3][emoji3][emoji3] Nadhani uliona nilivyokuwa nimetingwa na Umeme ulikuwa umekatika kwhy watu wanakuwa wengi kdg kwhy hata muda wa kuingia Online unakuwa mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…