INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

Naomba kuuliza mkuu...
Mashine za kuprint mbao zinauzwa sh ngapi?? Zapatikana sehemu gani??
NB. Nipo tarime ndani ndani huku gari mpaka siku ya mnada😅
 
Naomba kuuliza mkuu...
Mashine za kuprint mbao zinauzwa sh ngapi?? Zapatikana sehemu gani??
NB. Nipo tarime ndani ndani huku gari mpaka siku ya mnada[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zinapatikana sasa sijui wewe unataka size gani.

Chukua namba njoo Whatsapp
0759413270

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafanya Printing.
1. PICHA MBAO
2. PICHA ZA FREMU YA KIOO
3. SAA yenye PICHA YAKO

Picha kwa ajili ya KUMBUKUMBU yako, Familia.
Picha kwa ajili ya ZAWADI kwa Umpendae
Picha kwa ajili MAPAMBO.

BEI ZA PICHA MBAO
A4 - 12,000
A3 - 16,000
A2 - 35,000
A1 - 48,000

BEI PICHA FREMU ZA KIOO
A4 - 8,500
A3 - 14,000

BEI SAA YENYE PICHA YAKO
A4 - 36,000
A3 - 45,000
A2 - 85,000

[emoji419]Location: MABIBO Jirani na Chuo cha NIT

[emoji345] Tuko wazi kila siku kasoro siku ya JUMAMOSI tu.

Free Delivery Dar es Salaam City,
Mkoani unachangia gharama ya Tsh 5,000/= Usafiri.


Contact: 0759 413 270 (Call/Whatsapp)

K A R I B U N I S A N A.
.....................................................................

View attachment 2502310
Mzee nipo mabibo jua jua.
 
Mkuu maelekezo nipo hiyo njia ya kuelekea chini.
Pole Mkuu, [emoji3][emoji3][emoji3] Nadhani uliona nilivyokuwa nimetingwa na Umeme ulikuwa umekatika kwhy watu wanakuwa wengi kdg kwhy hata muda wa kuingia Online unakuwa mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom