Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkula kwanzia kesho hadi CCM day namwingiza lango kuu jipya la mapenzi ya Dunia maana yote ninayo mimi na ufalme wote wa mapenzi upo kwangu[emoji847][emoji23][emoji23] mfanyie suprise siku yaa wapenda nao
Anapenda sana hizo vitu za mapicha picha na frames zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba lishangazi fulani linapenda hizo
Mnapatikana wapiTunafanya Printing.
1. PICHA MBAO
2. PICHA ZA FREMU YA KIOO
3. SAA yenye PICHA YAKO
Picha kwa ajili ya KUMBUKUMBU yako, Familia.
Picha kwa ajili ya ZAWADI kwa Umpendae
Picha kwa ajili MAPAMBO.
BEI ZA PICHA MBAO
A4 - 12,000
A3 - 16,000
A2 - 35,000
A1 - 48,000
BEI PICHA FREMU ZA KIOO
A4 - 8,500
A3 - 14,000
BEI SAA YENYE PICHA YAKO
A4 - 36,000
A3 - 45,000
A2 - 85,000
Contact: 0759 413 270 (Call/Whatsapp)
K A R I B U N I S A N A.
.....................................................................
View attachment 2502310
Huwa mtu anakuja na picha yake sio.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ndio unakuja na picha hata ambayo umepiga kwa simu.Huwa mtu anakuja na picha yake sio.
Poa poa hizo saa mnakuwa nazo nyie.
Ndio Saa zinakuwepo, wewe unatuma Au kuja na Picha yako.Poa poa hizo saa mnakuwa nazo nyie.
Kwa A3 ndo na A4sh kwa picha na saa kama hutajali kunijuza.