Uchaguzi 2020 Tunasafiri na Antipas Lissu, chaguo la wengi

Ni yeye 2020
 
Hakuna kitu kama hiyo mkuu mpaka huku uswazi tuna mtaka lisu kura zake tunazo
 
Aiseee umeongea point hadi mwili umesisimka.
 
Hao walimu, waganga, mapolisi, wanajeshi? Usalama, ma- Rc na MaDC wanamuona kama kichekesho anataka kujitetea tu. Kauli ya Lissu iko wazi na ya Kabudi ilikuwa wazi.

Mzee amekosa majibu anatafuta vichaka.

Watanzania sio wajinga
Ccm basi tumechoka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…