Tunasafirisha Parcel & Mizigo Yote Kwenda Mikoa Yote Tanzania

Tunasafirisha Parcel & Mizigo Yote Kwenda Mikoa Yote Tanzania

Yohane Sunguya

New Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
2
Reaction score
3
Habari,

CITIZEN CARGO LTD Tunatoa huduma ya Usafiri wa Parcel, Vifurushi, Mizigo Mikubwa na Midogo.

Kutoka Dar es salaam Kwenda Mikoa Yote Tanzania

Mizigo yako itasafirishwa kwa haraka na uwakika.

Wasiliana nasi leo tukutembelee kukuhudumia kwa haraka.

Asante
Yohane Sunguya
Citizen Cargo Ltd
10th Floor, Ushirika Tower
Dar es salaam, Tanzania
0717935186 | 0692899234
citizencargotz@gmail.com
 
Vipi nikihitaji mnifatie kitu dukani, inawezekana???
 
Bati, bando 4 na pikipiki moja Dar hadi Isaka-Kahama. Niandae ngapi?
 
Back
Top Bottom