Tunasambaza mbao kavu moja kwa moja kutoka Njombe kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam na Pwani

Tunasambaza mbao kavu moja kwa moja kutoka Njombe kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam na Pwani

Muuzaji Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
893
Reaction score
2,001
KAMA WEWE:

•Unauza mbao reja reja kwenye banda lako.

•Una hardware pia unauza mbao za ujenzi.

•Una workshop kwaajili ya kutengeneza furniture.

•Una mradi wa ujenzi na unahitaji mbao za ujenzi kwa bei ya jumla.

•Unahitaji mbao kwa matumizi yako mengine kwa bei ya jumla.

•Kama upo kwenye kundi lolote hapo juu basi hii taarifa kutoka "L&J TIMBER SUPPLIERS" ni muhimu sana kwako.


•L&J TIMBER SUPPLIERS sasa tunatoa huduma ya kusambaza mbao kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam & Pwani hadi alipo mteja wetu.

•L&J TIMBER SUPPLIERS kumbuka mbao zinafikishwa hadi ulipo bila gharama yoyote ile na kubwa zaidi gharama za ushushaji ni wajibu wetu.


UBORA WA MBAO ZETU
•Mbao imejaa vizuri sana.
•Mbao imekauka vizuri sana.
•Mbao imenyooka vizuri sana.
•Mbao haina vidonda kabisa.


SIFA ZA MBAO TUNAZOSAMBAZA
•Mbao Nyeupe (untreated)
•Mbao fupi (Futi 12)
•Mbao laini (Pine/msonobari)


BEI ZETU ZA KUSAMBAZIA MBAO NDANI YA DSM & PWANI.

‎•2×2×12 ~ 2,300/=
‎•2×3×12 ~ 2,300/=
‎•2×4×12 ~ 5,700/=
‎•2×6×12 ~ 7,700/=
‎•1×4×12 ~ 2,300/=
‎•1×6×12 ~ 5,300/=
‎•1×8×12 ~ 6,800/=
‎•1×10×12 ~ 13,000/=

•Mbao zinafikishwa mahali ulipo na kushushiwa kabisa bila gharama yoyote ya ziada.

•MALIPO NI BAADA YA KUKABIDHIWA MZIGO WAKO NDUGU MTEJA.

•TUNALETA MBAO KILA WIKI NDANI YA DAR ES SALAAM & PWANI HIVO UNAWEZA KUWEKA ODA YAKO KILA WIKI.

•TUNAPOKEA ODA YA KUANZIA PC 1000 NA KUENDELEA MBELE.

•MBAO ZINATOKA MOJA KWA MOJA SHAMBA HADI ULIPO MTEJA.

Screenshot_20260528-195345.jpg



MAWASILIANO
0748874928
(PIGA SIMU/WHATSAPP)
‎
 
Back
Top Bottom