Msaliti ni msaliti chadema wajifunze kupoteza wanasiasa hata ambao walikua wanapendwa halima alishakufa kisiasa halima anaitaji chadema kuliko chadema inavyomuitaji Halima chadema watulize ubongo watajaza Maspay bura au double agent hao wakina Mdee sio wa kuaminika tenaNaunga mkono hoja
Wanaotoka ccm na kwenda chama cha upinzani chenye nguvu wanatoka kimkakati sana🤔Mwenye makosa husamehawa.
Kwenye siasa hakuna uadui usio na msamaha.
Steven Wasira alisaliti CCM, akahamia NCCR Mageuzi lakini leo chama hicho kimemuamini na kumpa cheo cha juu.
Ukishangaa ya Chama na Simba utaona ya Mdee na chadema ni kweli chadema imeshindwa ku move on kwa Mdee?
Huyu alishakua msaliti na msaliti ni msaliti tu.
TUACHIE MFUMO NA TARATIBU ZA CHADEMA ZIFANYE KAZI CHAMA KIKIJIRIDHISHA MDEE KURUDI ARUDI TU HAKUNA MWENYE HATI MILKI YA CHADEMA. MDEE RUDI HARAKA KAMA MWENZAKO TUMALIZE MJADALAUkishangaa ya Chama na Simba utaona ya Mdee na chadema ni kweli chadema imeshindwa ku move on kwa Mdee?
Huyu alishakua msaliti na msaliti ni msaliti tu.
Jiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.Msaliti ni msaliti chadema wajifunze kupoteza wanasiasa hata ambao walikua wanapendwa halima alishakufa kisiasa halima anaitaji chadema kuliko chadema inavyomuitaji Halima chadema watulize ubongo watajaza Maspay bura au double agent hao wakina Mdee sio wa kuaminika tena
Siasa msimamo V/S Siasa matokeo.Kuna dalili nyingi za uongozi wa CHADEMA kulambishwa asali
Vipi mauaji ya October 29? Magufuli pamoja nae kua muuaji lakini huyu Mama komeshaJiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.
Je ungeng'ang'ania kubaki rumande?.
Mambo ya mwaka 2020 yalikuwa ni ajali kwa watanzania wote kutokana na lile DUBWASHA tulilolizika Chato. Hakuna mwenye kosa kati ya hao 19. Huo ukurasa ufungwe TUJIPANGE UPYA na hawa akina Halima
Uhai wa wahuni na wezi una faida gani? Mimi nitumie miaka 30 kuwekeza ili ijenge sheli, halafu hao wapumbavu wanaichoma kwa kuhamasishwa na wanasiasa. Kwa kweli hao risasi za kichwa halali kwaoVipi mauaji ya October 29? Magufuli pamoja nae kua muuaji lakini huyu Mama komesha