Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo .
1. Hayati Benjamin Mkapa
Aliamini ukiwa na Taasisi zilizo imara basi utaweza kuwa na uchumi na maisha bora , hivyo alianzisha na kuendeeza taasisi mbali mbali ambazo mpaka sasa zina manufaa kwa Taifa kama:-

The National Health Insurance Fund(NHIF) (Mfuko wa Bima Taifa)
Tanzania Revenue Authority (TRA) (Mamlaka ya Mapato Tanzania)
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) (Wakala wa Barabara Tanzania)
Tanzania Social Support Fund (TASAF) (Mfuko wa Jamii)
Tanzania Commission for AIDs (TACAIDS) (Tume ya Kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi).
Tanzania Poverty Reduction Strategy (MKUKUTA) (Mkakati wa Kuondoa Umaskini na Kukuza Uchumi Tanzania).
Property and Business Formalization Program (BFFP) (Mpango wa Kuimarisha Raslimali na Biashara (MKURABITA).
National Business Council (NBC) (Baraza la Biashara la Taifa (BBT).
Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) (Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania).
Shukrani kwa baba wa Taifa kwa kutuletea Mkapa.
2. Hayati Mwalimu Nyerere
Alikuwa mzalendo, alipenda kushirikiana na aliamini Tanzania tunahitaji zaidi elimu ya UFUNDI.
3. Hayati Magufuli
Aliamini katika kulinda Mali za Nchi na kusisitiza watanzania tufanye kazi, sina hakika kama CCM walimleta huyu maana sote tulinyooka haswa.
4. Jakaya Kikwete
Aliamini kila mtanzania anastahili maisha bora, ndio kipindi ambacho watanzania wengi walifurahia sana maisha .Alijenga miundombinu mbali mbali nchini.
5. Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
Aliamini katika watu kumiliki mali na pesa.