Tunashukuru Mwalimu Nyerere kwa kutuletea Mzee Mkapa. Sina uhakika ni nani alisuka Mpango wa Magufuli, ila alitufaa sana

kuvaa hiyo skafu siyo ubunifu ni uchawa tu,madelu ni mbulula wa hali ya juu kama siyo mbulula unathubutu kutumia maneno ya trat na trab bila kujua maana yake tena Kwa mikogo huyu jamaa hata huo uwaziri wa fedha huenda yupo kimkakati tu.
 
Rais bora kwenye ardhi ya Tanzania toka dunia iumbwe ni Ndugu
Alhaj Alli Hassan MWINYI.
2.Mkapa
3.Nyerere
4.Kikwete
5.Magufuli.
 
Kweli we jamaa hututakii mema! umefuatilia ule mhimili lakini? Aisee oh Kumbe mwanasheria mwenzio! Lakini hata mhimili wa mahakama wametuambia tuendelee kukandamizwa na Tamisemi haihitajiki tume huru! STRICTLY SPEAKING WE ARE ON OUR OWN! na huyu ni msomi anashauri tuendelee kubaki misri! WE ARE DOOMED!
 
That’s awesome
 
Baada ya kushuhudia uchaguzi wa kidemokrasia unavyofanyika kwa weledi tunarejea kwenye jadi yetu ya ramli na kamari kupata viongozi.

Kijiji hakivuliki kwa mwafrika, hata akihamia na kuishi Manhattan miaka 10. Uwepo wa tunguri ni lazima.
 
Kosa kubwa alilotufanyia watanzania ni kutuachia hii katiba ambayo badala ya utufanya watqnzania tufutahie uhuru wetu sasa inaleta majonzi makubwa mno kwa baadhi ya watanzania hasa wapenda haki na wazalemdo wa kweli.
 
Baada ya kushuhudia uchaguzi wa kidemokrasia unavyofanyika kwa weledi tunarejea kwenye jadi yetu ya ramli na kamari kupata viongozi.

Kijiji hakivuliki kwa mwafrika, hata akihamia na kuishi Manhattan miaka 10. Uwepo wa tunguri ni lazima.
😂😂😂
 
Hata Marekani wametuma meseji duniani kwamba mwanamke hapaswi kuachiwa kuwa.mtoa maamuzi ya mwisho sababu anaongozwa na mahaba. Hisia na ujamaa au undugu. Hivyo vitu vinamfanya asiwe firm kwenye decision making.

Mfano magufuli kwenye ziara anatoa maamuzi magumu ila mama anaweza sema mtoeni huyo anayelalamika anapiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…