RESOLVED Tunashukuru Ofisi za Uwakala wa mabasi zimefunguliwa Dodoma

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Tunashukuru kwa kutupazia sauti Mawakala wa Mabasi hapa Mkoani Dodoma tumefunguliwa ofisi zetu, uamuzi huo ulifanyika muda mfupi baada ya taarifa yetu kusambaa Mtandaoni, wakatufungulia jana jioni (Septemba 11, 2026).

Waliofunga hawakuja kufungua waliwapigia simu viongozi wetu na kuwapatia maelekezo ya ofisi zifunguliwe na kuendelea kutusisitizia tusiruhusu mabasi kushusha wala kupakia abiria katika maeneo yasiyokuwa rasmi.

Tulifungiwa ofisi zetu tangu Septemba 8, 2026, zaidi ya Ofisi 100 za Mawakala wa mabasi zilizopo CBE, Area C, Maghorofani, Bahi Road, ambapo shughuli zilisimama muda mrefu na kutupa hasara kubwa kiuchumi, tukaambia wanaotakiwa kuwajibishwa ni wamiliki wa mabasi na siyo ofisi za Uwakala.

Asante viongozi wetu pia kwa kutusikiliza.

Soma Pia Kutufungia ofisi za Uwakala Dodoma si sawa, mnatakiwa ku-deal na Watu wa mabasi, sisi kazi yetu ni uwakala tu
 
Tunashukuru kwa kutupazia sauti Mawakala wa Mabasi hapa Mkoani Dodoma tumefunguliwa ofisi zetu, uamuzi huo ulifanyika mufa mfupi baada ya taarifa yetu kusambaa Mtandaoni, wakatufungulia jana jioni (Septemba 11, 2026).

Waliofunga hawakuja kufungua waliwapigia simu viongozi wetu na kuwapatia maelekezo ya ofisi zifunguliwe na kuendelea kutusisitizia tusiruhusu mabasi kushusha wala kupakia abiria katika maeneo yasiyokuwa rasmi.

Tulifungiwa ofisi zetu tangu Septemba 8, 2026, zaidi ya Ofisi 100 za Mawakala wa mabasi zilizopo CBE, Area C, Maghorofani, Bahi Road, ambapo shughuli zilisimama muda mrefu na kutupa hasara kubwa kiuchumi, tukaambia wanaotakiwa kuwajibishwa ni wamiliki wa mabasi na siyo ofisi za Uwakala.

Asante viongozi wetu pia kwa kutusikiliza.

Soma Pia Kutufungia ofisi za Uwakala Dodoma si sawa, mnatakiwa ku-deal na Watu wa mabasi, sisi kazi yetu ni uwakala tu
Sawa,chapa kazi!
 
Ila pale CBE mmepafanya pawe pakishamba sana pamekaa kiholela holela
 
Back
Top Bottom