Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 232
- 182
Kifo ni ibada na sio adhabuJapo kifo kinauma sana lakini kinaleta usawa fulani hivi.
Japo kifo kwa upande wa dini ni kama adhabu , lakini I'm sure kwa aina ya maisha na wanadamu tulivyo sasa hivi na ubinafsi huu kama kusingekuwa na kifo maisha yangekuwa mabaya sana
Yote ya yote pole mleta mada , be calm, hakuna wakati mgumu moja kwa moja.