Tunashukuru uliweka kifo

Kifo ni ibada na sio adhabu
 
Inamana we hautakufa?
Ni wenye mamlaka tu , ndo hufa
Kuti bichi , linacheka kuti kavu lilivyoanguka(halijui na hilo litapitia)
Mi nazani ungefurahia kifo chako, kiwe ndo njia ya kukupeleka mbinguni kupumzika(kama umjiandaa)

But upo unafurahia baba kafa, ili urithi mali
 
Kifo ni ibada na sio adhabu
Kifo sio ibada , huu ni ujinga uliofundishwa na mjinga asiejua kusoma na kuandika
Mbaya zaidi huyo mjinga aliekufundisha njia ya kwenda, alisema hajui anapokwenda na atakachokutana nacho muda kidogo kabla ya kufa
 
Duh ..
Hii January hii... Unaweza waza vitu vya ajabu kabisa .πŸ˜…πŸ€£
 
πŸ˜‚
Duh ..
Hii January hii... Unaweza waza vitu vya ajabu kabisa .πŸ˜…πŸ€£
Acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…