Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu .

Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ?

Tujiandae kisaikolojia
 

Attachments

Uzuri watu wamepangiwa mikoa yao, usishangae ukakutana hata na HR wako akitafuta kazi huko, kila mtu anatafuta green pasture. Ukiona mwajiri wako hataki ukafanye interview sehemu nyingine, changamka mapema sana kuondoka hapo maana hata akipigiwa kwaajili ya reference atasema huaminiki ili tu uendelee kukaa kwake.
 
Back
Top Bottom