Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwani unaaga kama unaenda kwenye usaili mkuu? usiage tafuta sababu nyingine wakupe ruhusa ya siku mbili piga intavyuu rudi mzigoni
Sasa mtu atafatilia jina lako kati ya majina zaidi ya 100k?Naviona vilio vinakuja , majina si yako wazi
Mbona simple tuSasa mtu atafatilia jina lako kati ya majina zaidi ya 100k?
Sawa, bc huyo boss wako ana matatizoMbona simple tu
Mkuu majina hayajifika idadi hiyo.Sasa mtu atafatilia jina lako kati ya majina zaidi ya 100k.
Ni rahisi sana hata yangekuwa ma pdf mengi ,sembuse mojaMkuu majina hayajifika idadi hiyo.
Unasearch tu majina yake inakuja chap.Ni rahisi sana hata yangekuwa ma pdf mengi ,sembuse moja
Yn mpaka inafikia stage hy bc ww na huyo muajiri mna matatizoUnasearch tu majina yake inakuja chap.
Nadhani hujafanya kazi privateYn mpaka inafikia stage hy bc ww na huyo muajiri mna matatizo
Mm nakuelewa mkuuNadhani hujafanya kazi private