Kila chuo kina sheria zake kulingana na mahitaji ya eneo husika na kimepewa mamlaka ya kujitungia sheria kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 97(5) hivyo sheria zao kama hazendi kinyume na katiba ya nchi basi itakuwa wewe ndiyo mwenye matatizo.Kumbuka tu hapo umefuata elimu si harakati