jaman sasa tume choka haiwezekan mwafunzi tena nasoma sheria napelekwa kama wanafunzi wa secondar ya jeshi . kilasiku kufukuzwa darasan kisa huna dictionar na ukikutwa nje uandike barua kwann upo nje.
Kila chuo kina sheria zake kulingana na mahitaji ya eneo husika na kimepewa mamlaka ya kujitungia sheria kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 97(5) hivyo sheria zao kama hazendi kinyume na katiba ya nchi basi itakuwa wewe ndiyo mwenye matatizo.Kumbuka tu hapo umefuata elimu si harakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.